Machawa wa Abdul awamu hii lazima mnunue MAVIWANJA mweziniNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Hata kama wangeshiriki kwa Tume hii wangepata nini? Chaguzi za serikali za mitaa walipata nini? Heri kufa masikini kuliko kuwa mtumwa, kutegemea hisani ya CCM kupata jimbo ni usaliti kwa wapenda haki.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Hakuna kosa hapo siwezi kushiriki uchaguzi wa kuharalisha dhulma,Nyie endeleeni kubaki madarakani tu.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Hawataki nusu mate,wanataka mkate wote wa halali.Kamanda kwa Nini msilinde kula kama mnavyojigamba.Mtaa ninaoishi Mimi ameshinda mwenyekiti KUTOKEA CHADEMA
Yaani damu za watu kumwagika na kuuwawa kila uchaguzi unaona ni sawa? Binafsi naunga mkono Chadema katika hili labda naweza kuanza kupiga kuraKamanda kwa Nini msilinde kula kama mnavyojigamba.Mtaa ninaoishi Mimi ameshinda mwenyekiti KUTOKEA CHADEMA
Kwa hiyo wewe hapo unaona uamuzi sahihi kwenye siasa ni kuibiwa kura kila uchaguzi ukifanyika? Chadema haitashiriki uchaguzi wewe inakuhusu nini? Hujazuiwa kupigia kura vyama vingine. Vipo kibao mpaka wagawa ubwabwaNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Chadema ipo imara sana , hizi ngojera ni za mda , hakuna cha chauma au baba yake.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Wewe na wenzio huko CCM mna akili za kenge bila shaka ambaye ili aelewe na kusikia ni lazima apigwe mpaka atokwe damu puani na masikioni...!!Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Hata usemeje haisaidii kitu.Chawa kama chawa
Ndio Heche anavyokudanganya?😁Chadema ipo imara sana , hizi ngojera ni za mda , hakuna cha chauma au baba yake.
Yani chadema yenye mamilioni ya wafuasi hata wangeondoka mil 1 kwenda chauma bado sana
Nilitaka kusema jana uyu Askofu awe wa mwisho mana Vijana wa CHADEMA waliogoma kuama kwasasa wao kila wakisikia mtu wao anasepa wao wanakuja na matusi na kumvisha vazi la CCM !!!!!!Nasikia askofu Mwamakula tayari ameshajiunga na chaumma😁😁
sasa mkishinda 98% CHAUMMA itapataje ruzuku ili mrema aikimbie..na wewe mbona mjinga, dunia ione mara ngapi..chaguzi za 2019,2020, 2024 dunia ilikuwa haioni kilichofanyika..?
si kweli, muhuni anangiwa nje asepe zake; kwanza CDm nduo inazidi kuwa safiii si unaona mamluki wanavyotimka wenyewe.Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Muhuni Hasusiwi🖐️
Hujasikia kuhusu NO REFORMS NO ELECTION?Nimekitaja CHADEMA kwa vile ndiyo chama kikuu Cha upinzani
Suluhisho ni REFORMSSolution ni kususia?