Pamoja na kuwa nyumbu wa CHADEMA hawaafiki ukweli huu lakini kinachotokea ni CHAUMA na CHADEMA kugawana wanachama wao. Matawi mengi ya CHADEMA yategeuka kuwa matawi ya CHAUMA nchi nzima..Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Kama walivyopambana 2019, 2020 na 2024, au sio bro? CCM wakaibuka na ushindi wa 99% huku wapinzani wakitekwa, kupotezwa na wengine kuuawa. Una akili sanaNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Wajuvi wa mambo ya kiroho tunajua kesho ipo vipi ,hakuna cha kuambiwa na mtu wala nini mkuuNdio Heche anavyokudanganya?😁
Haya sawa😜Wajuvi wa mambo ya kiroho tunajua kesho ipo vipi ,hakuna cha kuambiwa na mtu wala nini mkuu
Wakiweka wagombea majina yao yanakatwa nchi nzima, kosa lao liko wapi? Kuna vyama 17 vingine vinashiriki, Chadema kutoshiriki kuna athari zipi?Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Maana ya chama cha siasa ni kukubali kuburuzwa na chama tawala kwenye chaguzi za kipuuzi. Cdm hatumiss wala kujuta kutosaini sheria za uchaguzi wa kihuni.Hajui maana ya chama Cha siasa shida inaanzia hapo
Huwezi kujuta kwani mmedhamilia kuuwa CHADEMAMaana ya chama cha siasa ni kukubali kuburuzwa na chama tawala kwenye chaguzi za kipuuzi. Cdm hatumiss wala kujuta kutosaini sheria za uchaguzi wa kihuni.
Nasema hivi, hakuna mafala wa kwenda kuhalalisha ccm kukaa madarakani tena kihuni. Chaguzi hizo za ghiliba kashirikini na vyama vyenu shikizi.Huwezi kujuta kwani mmedhamilia kuuwa CHADEMA