CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

Kwa hiyo kama Mama yangu anafanywa hivyo basi Barida tu hata wewe kufanywa hivyo sio ?
Sema vizuri kuwa kama mamayako anafirwa na Mimi ni sawa mbona unaogopa kusema yaani mama yako na baba yako wote mabwabwa umekula hasara
 
Majambazi yanafaa kukamata Dola ya kijambazi na sio vinginevyo,Dola halali haiendani na utawala haramu, wakijambazi ,hivyo hivyo Kwa utawala halali, hauendani na dola haramu🤔.
 
Kiongozi wa kitaifa si mmemfunga gerezani mlitaka nani aende?
 
HIVI NANI NI MZALENDO WA KWELI NI WALE WALIOKWENDA KUSHEREHEKEA NCHI AMBAYO HAIKUPATA UHURU AU WALE AMBAO WAMEAMUA KUTOKWENDA.
 

..polisi wa mkoloni muingereza hawakuwa wakatili kama hawa polisi wa ccm.

..hata wakati wa kupigania uhuru wanachama, na viongozi wa tanu, hawakudhalilishwa kama chadema walivyodhalilishwa na serikali, mahakama, na vyombo vya dola vya ccm.
 
Ukisusa ss twala, huo uhuru tulio pata ni wa mkoloni wa kizungu, ila lile jitu jeusi nene bado sana
 
Mpinzani anayetetea Acacia anasitahili kuawa

..wazo zuri sana.🤣🤣

..Na aliyeileta acacia na kuingia nayo mikataba inayotunyonya afanywe nini?

..wapinzani wangeijulia wapi acacia bila ya serikali ya ccm kuileta hapa Tanzania?
 
Wewe ni mzima? Mwenyekiti wa CHADEMA, si mnaye wenyewe? Kwa nini hamkumpeleka uwanja wa Taifa kama mlitaka ahudhurie?
 
Nyie nguruwe si mlisema Chadema imekufa, au mumesajili chama chenu mkakipa jina hilo? Tuacheni, hatuna shirika na wauaji.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hata ccm siku kifo Cha mwasisi wataifa mlienda kusalimia kaburi la magufuli na mkamwacha mJane wa baba wataifa pekeake mpweke pweee
 
Umesema kweli kabisaaaa. Ila
siku hii watu huwa na furaha, watu huwa pamoja kushangilia uhuru wao...
Hio sentensi wakiona wazazi wa wale waliotekwa na wengne kupotea kabisa kisa tu waliikosoa serikali au viongozi waliopo madaraka unahisi hio furaha wataitoa wap?
 
Wamekwenda pale saccos kujazana ujinga, eti wataidai katiba mpya kwa jasho na damu. Wataanza mikoani, mpaka vyuoni.Wanadai gaidi hakupaswa afungwe, bali wao ndio waipaswa kuwa segerea na ukonga. Upuuzi mtupu.
 
Ndiyo maana wanashindwa vibaya kwenye chaguzi. Adui wao ni wao wenyewe. Hawajui maeneo kama hayo ni sehemu ya kuongeza ushawishi kwa umma na ushawishi kimataifa. Chama kimeishiwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…