ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Nguvu ya MVUTO.Ni ujinga tu unasumbua watu. Kulazimisha kupendwa na kutawala watu kwa nguvu za dola ni tatizo sana. Kama Taifa hatuwezi kufanikiwa kwa kutawala watu kwa kutumia nguvu.
Kisa? Kwani haruhusiwi kufanya shughuli zake za kisiasa nje ya kampeni?Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @TunduALissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha. https://t.co/iBtlPUfuqQ
Dada kukichwa kutapambazuka lakini kabla mwanga haujatokea kiza huwa kinene.Ushindi unakaribia
Wakati si milele....!!!Duhh! Anaandamwa sana huyu mwamba.
Sidhani kama unaelewa maana ya vikwazo!!!Vikwazo vikiweka ndo akili zitawarudia
Na watu walivolala akiwapa wanaona hyu ndy anawapenda ila badae atawanyonyaaa mpaka wakonde. Ujinga ni mzigo mkubwa sana..!!!Jane Lowassa,
Umefanya fujo barabarani?
Tumemtuma sisi wafanyakazi, sisi wafanyabiashara tuliofilisiwa, wakulima wa ufuta, mbaazi na korosho, sisi tunaokatwa 15% HESLB n.k
Mzito kuelewa ni yule anayetoa rushwa ya uchaguzi hadharani
Eti akikuwa anaenda kukagua soko!
Huyu si kapewa adhabu asifanye kampeni. Hivi huyu mbona mzito sana kuelewa huyu? Anataka nn huyu? Ametumwa na nani huyu? Kwanini anafanya fujo lakini huyu?
Hiki ni kipindi cha kampeni, siyo shughuli nyingine za kisiasa. Muwe mnaelewa basi nyie wapinzani siyo kupingapinga tu.Kisa? Kwani haruhusiwi kufanya shughuli zake za kisiasa nje ya kampeni?
Kibaha yuko waziri mkuu sasa huyo Mwalimu anaenda kufanya nini?
Vipo vikwazo vya Nchi zima pia vipo vikwazo vya mtu mmoja mmoja, mfano ni vile vikwazo vya Bashite kutokanyaga marekani wakati alinunua nyumba kula na kuficha pesa zake vyote vimekwenda na maji, sasa vikwazo vinakuja vitaanza na IGP mkurugenziccm wa Tumeccm kisha wengine akina polepole na wanzao watafuataSidhani kama unaelewa maana ya vikwazo!!!
Tumefika usiku wa manane kakaDada kukichwa kutapambazuka lakini kabla mwanga haujatokea kiza huwa kinene
Mkuu ondoa shaka Lissu anaiondoa CCM 2020 , watajaribu kugoma lakini watang'okaManyanyaso yote haya ya nini? Hivi mbona Lissu ananyanyaswa hivi? Amekuwa shetani? Kama hamtaki vyama vingi si mvifute tu?????
Tuanze kijiandaa kuingia mtaani ni wakati mzuri sasa.Jamani jamani Magufuli kaumiza watu. Haisemeki kiwango cha maumivu kilichopitiwa. Kaumiza watu jamani jamani jamani. Hivi ni kuwa watu hawaelewi au wamelipwa waje kumfanyia kampeni?
Lisu hafanyi kampeni ebu kuwa na Akili kidogo hata za kufulia bukta basi, Lisu yupo kwenye kazi zingine za chama Yaani hutaki atekeleze majukumu mengineyo ya chama?Anabishana na baraza la chama chake na maelekezo ya mwenyekiti waje wa chama!!!