ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Nguvu ya MVUTO.Ni ujinga tu unasumbua watu. Kulazimisha kupendwa na kutawala watu kwa nguvu za dola ni tatizo sana. Kama Taifa hatuwezi kufanikiwa kwa kutawala watu kwa kutumia nguvu.
Makaburu SA pamoja na maguvu yao yote, na madaraja na midege yao yote; walishindwa na mfungwa aliyetoka jela alikokuwa kwa miaka 27.