GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huenda ni Mpango wao wa muda mrefu!
Tusipuuze
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi nchi hizi imekosa watu wenye busara wa kumwambia Samia na genge làke kuwa inatosha atuache salama?
Wenye uwezo huo watakujibu kuwa wao wanalinda katiba, katiba ambayo hawajawahi hata kuisoma.
 
Tanga sasa..
 
Wewe Akili unazo? Kichwani umejaza kamasi debe mbili nani wa kukusikiliza tahira wewe jianike mwenyewe pumbavu zako, umelewa sifa za kula pesa za walipa kodi kwa njia haramu za kishetani hadi umejitoa fahamu zote


Kwa nini usiache watu wenye akili timamu waijadili mada? Au umechanganyikiwa kuona ulichotumwa kukifanya kimefahamika kabla hujatekeleza?
 
Huyo mwenye mawazo ya kumuwekea TAL sumu akiwa gerezani au mahala popote basi mtu huyo atakua anatembea huku kinyesi kikimtoka
 
We bwege unatakiwa ukamatwe uisaidie polisi, acheni upuuzi serikali ikitaka kummaliza huyo kibaraka wenu ingemwangamiza ndani ya muda mfupi acheni kutafuta cheap popularity, cheap politics
 
Hatari sana hii
 


Mwalimu aliwahi kusema kuwa shoka linalokata mti, mpini wake umetengenezwa na mti. Shoka bila mpini haliwezi kukata mti.

Maharamia watanganyika ndio wanaotumika kuiangamiza Tanganyika na watanganhika wenzao. Matanganyika ya namna hii yamelaanika pamoja na vizazi vyao.
 
Hizo taarifa ninazo kabla ndo maana nikaishauri serekali imuhudumie Lissu kila kitu magereza wasipokee chochote kutoka kwa watu wa Chadema kumpa Lissu wanaweza kumuua ili waichonganishe serekali na wananchi
Acha hizo, CHADEMA ndio walimpiga risasi hadi wafikirie kumpa sumu!?
 
No zipo sumu zinaua pole pole. Unalishwa leo inakuua tararitibu kwa miezi 3 hivi. Utashtukia ini limeferi kwa mfano unue ndio imetoka hiyo. Akipewa atatoka gerezan mzima sasa subiri mwezi upite.
Kwa madai yaliyopo, lazima akitoka atafanyiwa check up,na itajulikana he,alipewa sumu au la?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…