Nafikiri CCM kuondoka madarakani ni kwa mtutu wa bunduki pekee na sio kwa njia ya kidemokrasia.
Ukiona watu wanashindwa hata kuwaachia wenzao watoe pole kwa wafiwa, basi ujue hao ni maharamia wakubwa na wapo tayari kucheza michezo yote michafu mbele ya wapinzani wao bila chembe ya ya aibu.