CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Heri yule anayejidanganya kidogo,kuliko yule anayetaka kuubadili ukweli kuwa uongo.
 
Hivi hao waandishi wa habari hawachoki tu kuwasikiliza maana kila mara tu mnaongea nao na hakuna impact yeyote ya mazungumzo yenu.
Kweli nyani haoni kundule pole pole hamuoni ila wakiitisha chadema wakiitisha mkutano munawashwa kweli kuku akinya amekunya akinya bata kaharisha Lumumba mnapumulia visinginoni
 
Mjinga mwingine huyu hahaha ugali kuutetea lazima ujitoe ufaham
 
Yule anguko lake ilikaribia ,hata hajashitakiwa na chadema ,ni clip yake tu imemshitaki ,hivi kwenye mikutano ya chadema kwa mfano wahuni walete vurugu OCD kama yule atatoa msaada gani
Hii point, imenifanya nigundue kwanini askar hatakiwi kujihusisha na siasa au kuwa mwamachama
 
Link please!
Hakuna mwandishi aliyefika hadi mida wanawapigia simu kuwabembeleza waende wengi hawataki wengine wanadai nauli

Saa hiibinaingia saa sita Hanna kitu yaani wanakosa hadi wandishi wa habari
 
Hivi hao waandishi wa habari hawachoki tu kuwasikiliza maana kila mara tu mnaongea nao na hakuna impact yeyote ya mazungumzo yenu.
Kama hakuna impact,mbona maji ya shingo kwa chama mbogamboga, hata mnakimbilia mbeleko na bado hamjiamini.
 
Labda huna habari kuwa mdogo wake lema mgombea ubunge Jimbo la Arusha mjini alikamatwa kwa kujaribu kuingilia mifumo ya kibenki.
Ndio kazi za mbeleko zenu kubambikia mashitaka ya uongo.
 
Hakuna mwandishi aliyefika hadi mida wanawapigia simu kuwabembeleza waende wengi hawataki wengine wanadai nauli

Saa hiibinaingia saa sita Hanna kitu yaani wanakosa hadi wandishi wa habari
Wewe ni propagandist wa chama mfu-CCM mkuu?
 
Yule anguko lake ilikaribia ,hata hajashitakiwa na chadema ,ni clip yake tu imemshitaki ,hivi kwenye mikutano ya chadema kwa mfano wahuni walete vurugu OCD kama yule atatoa msaada gani

Huyo OCD ndio amekuwa akiratibu mikutano ya Mbowe kufanyiwa fujo yeye na DC. Na yeye DC ndio waliratibu Lisu kupigwa mawe huko hai.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tundu anajikutaga anajua kila kitu. Hapo utakuta anataka kufundisha idara za serikali kazi.

Eti ndugu zangu mnaotokea singida jina "Tundu" lina maana gani kilugha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…