kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Kwani Mzee Mbowe sio Mwenyekiti wa KUDUMU?Lema hajakimbia UMANDE?Mm nakuambia wewe una akili ndogo ununaita watu wamekimbia umande. Hicho unachoita mwenyekiti wa kudumu kimeandikwa ibara ya ngapi ya katiba ya chadema?
Unaropoka kila linalokujia ili mradi uchafue watu kwa faida ya nani?
SidhaniHapo tayari chama kimejipasukia
Sheida yake ni nini? Ni kukalia kiti tu au kuna mengine zaidi?Mbowe kashapoteza credibility kwasasa, haaminiki tena. Hii hai hitataji kujua what should be the next step, kama mtu mwenye hekima za kiuongozi anapaswa kujua nini cha kufanya.
Sasa mbowe cdm tu anapambana kukalia kitu , what if kama ingetokea bahat mbaya akawa namba 1 pale magogoni?? Huyu na genge lake si wangetuingiza machafukoni??
Lissu ameshaanza kuingia kwenye kundi la wasema hovyo.Watanzania hasa wale wapenda maendeleo ya kweli ambao Magufuli haya ndio mambo ambayo hakuwa na muda nayo.
Hivi Lissu alijianzia tu kuongelea maswala ya โnusu mkateโ au aliulizwa swali na mwandishi wa habari baada ya kumaliza press conference yake je CDM ikipewa nafasi ya kufanya kazi na serikali kwa utaratibu kama Zanzibar itakaa. Ndio akaanza kutoa ufafanuzi wa sheria hilo haliwezekani kwa katiba ya Tanzania na kuanza kutoa elimu ya sheria.
Huu ndio upuuzi ambao Magufuli hakuwa na muda nao, unasema โAโ wananchi wanasema uliongea โBโ huo muda wa kutoa maelezo alikuwa hana; utaelewa siku akikutumbua alimaanisha nini hasa.
Aliyoongea Lissu na tafsiri ya jamii ni tofauti kabisa na wengine wamesikiliza press conference nzima.
Ndio maana wengine tunadhani anahitajika Magufuli 2.0, lazima apatikane mtu wa kuziweka akili za watanzania zikae sawa. Huwezi kuwa na jamii ya namna hii.
Mimi binafsi uwa simkubali Lissu sehemu moja tu, pale ambapo nchi inakuwa na migogoro na watu wa nje; halafu muda huo-huo yeye analeta majungu yake dhidi ya serikali. Lakini alichoongea juzi ni kwa ajili ya kuijenga CDM hakuna sehemu aliyolenga kubomoa, labda kama watu huko Mikocheni sijui Ufipa wanajistukia tu.
Mlipeni kwanza pesa zake!Wakuu kwa jinsi ambavyo huyu mzee amepandikiza chawa wake kuanzia ngazi ya viongozi wa kanda hadi wajumbe wa kamati kuu,hakuna uwezekano wowote uli ataweza kuachia cheo cha Mwenyekiti.
Wito wangu kwa wanachama,tufungue kesi mahakamani kupata tafsiri sahihi ya Mwenyekiti wa KUDUMU.
Kivipi kwa sababu wameamua kujipa maana zao kwa vitu ambavyo yeye alikuwa anaongelea kwa content nyingine.Lissu ameshaanza kuingia kwenye kundi la wasema hovyo.
๐๐Kisomo Cha Tanga ๐ผ
Mbona mshua wako ndio anakaribia mwisho kuvuta shuka?Kuna kila dalili Lis... amekaribia kufa.
Sasa anatafuta afe na Nini!
Wewe mwanachama wa uvccm unahusika vipi na mambo ya CHADEMA?Wito wangu kwa wanachama,tufungue kesi mahakamani kupata tafsiri sahihi ya Mwenyekiti wa KUDUMU.