sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Mkuu kila mwamba ngoma....Na vipi huyo mwingine, wengine humuita mwenye Saccos yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kila mwamba ngoma....Na vipi huyo mwingine, wengine humuita mwenye Saccos yake?
Haya ndio matamanio ya kila jizi la ccm.Hapo tayari chama kimejipasukia
Chadema wamjibu tundu Lissu! Kumbe Lissu siyo Chadema?Hapo tayari chama kimejipasukia
Shida hiyo ya uelewa mdogo wa jamii ambao ndiyo wapiga kura wake anatakiwa aufahamu na aepuke kukiingiza Chama chake kuandikwa vibaya kwenye media.Kivipi kwa sababu wameamua kujipa maana zao kwa vitu ambavyo yeye alikuwa anaongelea kwa content nyingine.
Shida sio Lissu, bali ni uwezo mdogo wa jamii kuelewa alichokuwa anasema.
Mbona CCM na raisi ilimwelewa, kabla siku aijaisha wakajibu na kutaka TAMISEMI ifumbie macho makosa madogo madogo kabla ya kuengua wagombea.
Shida ni akili za viongozi wa CDM tu ndio ndogo.
Lissu atafute mshauri mzuri wa siasa.Anaivuruga Chadema wala sio CCM. Anayeivuruga ni Kiongozi anaiongelea Chama chake vibaya nje ya vikao rasmi vya Chama. Kama harithiki na kinachofanyika chamani si aondoke kama wengine walivyofanya, kama harithiki na kundi ulilopo unaachana nalo na si kupiga kelele na upo nao. Narudia tena CCM Chini ya Mama Samia Suluhu Hassan ni waungwana sana. Wanasemwa vibaya tena kwa dharau na wamekuwa waungwana. Vile vile huwezi hata mara moja kuendesha Chama cha Siasa kiuharakati lazima ufuate miongozo ya Uongozi wa vyama vya siasa chini ya Msajili wa vyama vya siasa.
Wezi walioko chadema matumbo moto,Lissu shikilia hapo hapoHaya ndio matamanio ya kila jizi la ccm.
Na ndicho alichoongelea uchaguzi tu, tena wa Ikungi kwa sehemu kubwa, huko inaonekana ndiko alipokuwa anajua nini kimejiri.Shida hiyo ya uelewa mdogo wa jamii ambao ndiyo wapiga kura wake anatakiwa aufahamu na aepuke kukiingiza Chama chake kuandikwa vibaya kwenye media.
Tundu Lissu anatakiwa aelewe kuwa media zote huwa zinaandika habari mbaya za CHADEMA hawajishughulishi na habari nzuri.
Lissu kama angeongelea Uchaguzi tu na Mambo mengine ya kitaifa hakuna chombo Cha habari kingeandika au kufuatilia ndiyo maana wametwist context ya kile alichokizungumzia.
Hata hili Lissu halielewi ?
Mmh!!ngoja tuone Kama Kuna ukweli utajulikana,lkn tuwaombee waendelee kudumu wawe na umoja,na wasitetereke Kwa namna yoyote ile,bado twawahitaji saana,hakuna mbadala wenu kwa Sasa.Na ndicho alichoongelea uchaguzi tu, tena wa Ikungi kwa sehemu kubwa, huko inaonekana ndiko alipokuwa anajua nini kimejiri.
Hayo mengine yote yanayo trend msingi wake ni majibu ya maswali aliyoulizwa na media baada ya kumaliza kuongea alichowaitia kulikuwa na maswali matano. Baadhi ya maswali aliyoulizwa.
1. Vipi umesema serikali imecheza foul CDM mna mpango gani mtakubali hii hali au mna mpango mwingine?
Ndipo alipotoa majibu ya siku chache zilizobakia na changamoto za appeal yenyewe (akahitimisha) aoni njia nyingine ya kuwarudisa hao wagombea hasa upande wa Ikungi.
NB; Ndio maana Mchengerwa na Nchimbi wakajitokeza kijibu.
2. Wengine wakauliza nusu mkate ndio akatoa maelezo hilo linawezekana kwa katiba ya Zanzibar tu
3. Wengine wakauliza vipi rushwa, je watu wameharibu form makusudi. Ndipo alipoelezea hana ushahidi huo, ila possibility hiyo kama yeye alifuatwa seuse huko mtaaniZ
Press conference ipo YouTube hakuna sehemu Lissu alipokisema chama chake vibaya, hayo yote yanayo-trend msingi wake ni kwenye kujibu maswali aliyokuwa anaulizwa mwishoni. Ni watu tu wana twist hivyo vitu anavyoshutumiwa navyo wakati yeye alikuwa anaongea katika context nyingine kabisa. .
Hakuna sehemu kakisema vibaya CDM ni watu tu huko walipo wanajistukia.
Tindo brazaj ....Wakuu
CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu
=====
Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama;
1. Chadema haijawahi kuletewa hoja ya kugawana madaraka kutoka Chama chochote au kutoka kwa Serikali wala hoja ya kupewa Majimbo ya Uchaguzi au kugawana nafasi za madaraka katika muundo wa Serikali.
Aidha, ieleweke kuwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo sasa nafasi ya Makamu wa Rais hugombewa na haitolewi mezani, vilevile nafasi ya Waziri Mkuu hutokana na Chama chenye wabunge wengi Bungeni.
2. Chadema katika vikao vyake vyote rasmi haijawahi kujadili, kutoa au kupokea mapendekezo yeyote ya kitu kinachoitwa "Serikali ya nusu mkate". Jambo hili kama linavyopotoshwa halijawahi kuwa Sera ya Chadema.
3. Chadema haijawahi kupokea wala kujadili au kubeba au kuwa na agenda na Serikali katika vikao vyote vya Chama au vile vya maridhiano kuhusu hoja hizo tajwa hapo juu.
4. Ikumbukwe kuwa vikao vyote vya maridhiano vilifanyika mwaka 2022 na vikahitimishwa 3 Januari 2023 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan alizungumza na Taifa kupitia Vyama vya Siasa na Wadau mbalimbali kuondoa katazo haramu la shughuli za kisiasa ikiwemo mikutano ya hadhara na maandamano. Tarehe 30 na 31 May 2023 palifanyika vikao vya mwisho ambapo tulishindwana. Baada ya hapo hakuna kikao chochote cha siri au hadharani kimefanyika baina ya CCM na Chadema.
5. Kwa kipindi chote cha mwaka 2023 na 2024 hadi sasa, Chama kimekuwa kwenye program mbalimbali zenye lengo la kukiuhisha Chama kufuatia miaka 7 ya Chama kupitishwa kwenye "Bonde la Uvuli wa Mauti" na hivyo kuathiri kwa kiasi kikubwa mtandao na Uongozi wa Chama katika ngazi mbalimbali kuanzia kwenye Vitongoji, Mitaa na Vijiji. Shughuli zilizofanyika ni pamoja na ziara mbalimbali maeneo kadhaa ya nchi kwa ajili ya mikutano ya hadhara, maandamano, mafunzo, usajili wa wanachama kidigitali, chaguzi kuanzia ngazi za vitongoji, Mitaa, Vijiji, Kata, Majimbo, Wilaya, Mikoa hadi Kanda. Chaguzi hizi za ndani zitahitimishwa na Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama.
Pia, Soma:
+ Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM
Mkuu 'Al Watani', naomba kupitia kwako nieleze kinacho nishangaza na mjadala huu wa kulaumiana, na hasa kumlaumu Tundu Lissu kama baadhi ya watu wanavyo fanya.Shida hiyo ya uelewa mdogo wa jamii ambao ndiyo wapiga kura wake anatakiwa aufahamu na aepuke kukiingiza Chama chake kuandikwa vibaya kwenye media.
Tundu Lissu anatakiwa aelewe kuwa media zote huwa zinaandika habari mbaya za CHADEMA hawajishughulishi na habari nzuri.
Lissu kama angeongelea Uchaguzi tu na Mambo mengine ya. kitaifa hakuna chombo Cha habari kingeandika au kufuatilia ndiyo maana wametwist context ya kile alichokizungumzia.
Hata hili Lissu halielewi ?
Mbowe uwa anatumiwa na CCMMbowe kashapoteza credibility kwasasa, haaminiki tena. Hii hai hitataji kujua what should be the next step, kama mtu mwenye hekima za kiuongozi anapaswa kujua nini cha kufanya.
Sasa mbowe cdm tu anapambana kukalia kitu , what if kama ingetokea bahat mbaya akawa namba 1 pale magogoni?? Huyu na genge lake si wangetuingiza machafukoni??
Kuna wasomaji na wachangiaji wengi sana ndani ya jukwaa hili la Siasa wange faidika sana na uchambuzi wako huu wa kueleza hatua kwa hatua alicho zungumzia Tundu Lissu na kwa nini alikizungumzia. Hili ni somo zuri sana kwa wengi.Na ndicho alichoongelea uchaguzi tu, tena wa Ikungi kwa sehemu kubwa, huko inaonekana ndiko alipokuwa anajua nini kimejiri.
Hayo mengine yote yanayo trend msingi wake ni majibu ya maswali aliyoulizwa na media baada ya kumaliza kuongea alichowaitia kulikuwa na maswali matano. Baadhi ya maswali aliyoulizwa.
1. Vipi umesema serikali imecheza foul CDM mna mpango gani mtakubali hii hali au mna mpango mwingine?
Ndipo alipotoa majibu ya siku chache zilizobakia na changamoto za appeal yenyewe (akahitimisha) aoni njia nyingine ya kuwarudisa hao wagombea hasa upande wa Ikungi.
NB; Ndio maana Mchengerwa na Nchimbi wakajitokeza kijibu.
2. Wengine wakauliza nusu mkate ndio akatoa maelezo hilo linawezekana kwa katiba ya Zanzibar tu
3. Wengine wakauliza vipi rushwa, je watu wameharibu form makusudi. Ndipo alipoelezea hana ushahidi huo, ila possibility hiyo kama yeye alifuatwa seuse huko mtaaniZ
Press conference ipo YouTube hakuna sehemu Lissu alipokisema chama chake vibaya, hayo yote yanayo-trend msingi wake ni kwenye kujibu maswali aliyokuwa anaulizwa mwishoni. Ni watu tu wana twist hivyo vitu anavyoshutumiwa navyo wakati yeye alikuwa anaongea katika context nyingine kabisa. .
Hakuna sehemu kakisema vibaya CDM ni watu tu huko walipo wanajistukia.
Lakini, si mwisho wa "kuwamba" ngoama hiyo huwa imewambwa barabara na kutoa mlio mzuri?Mkuu kila mwamba ngoma....
Kwa namna hiyo, Tundu Antipas Lissu, hatakiwi CHADEMA.Wakuu
CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu
=====
Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama;
1. Chadema haijawahi kuletewa hoja ya kugawana madaraka kutoka Chama chochote au kutoka kwa Serikali wala hoja ya kupewa Majimbo ya Uchaguzi au kugawana nafasi za madaraka katika muundo wa Serikali.
Aidha, ieleweke kuwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo sasa nafasi ya Makamu wa Rais hugombewa na haitolewi mezani, vilevile nafasi ya Waziri Mkuu hutokana na Chama chenye wabunge wengi Bungeni.
2. Chadema katika vikao vyake vyote rasmi haijawahi kujadili, kutoa au kupokea mapendekezo yeyote ya kitu kinachoitwa "Serikali ya nusu mkate". Jambo hili kama linavyopotoshwa halijawahi kuwa Sera ya Chadema.
3. Chadema haijawahi kupokea wala kujadili au kubeba au kuwa na agenda na Serikali katika vikao vyote vya Chama au vile vya maridhiano kuhusu hoja hizo tajwa hapo juu.
4. Ikumbukwe kuwa vikao vyote vya maridhiano vilifanyika mwaka 2022 na vikahitimishwa 3 Januari 2023 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan alizungumza na Taifa kupitia Vyama vya Siasa na Wadau mbalimbali kuondoa katazo haramu la shughuli za kisiasa ikiwemo mikutano ya hadhara na maandamano. Tarehe 30 na 31 May 2023 palifanyika vikao vya mwisho ambapo tulishindwana. Baada ya hapo hakuna kikao chochote cha siri au hadharani kimefanyika baina ya CCM na Chadema.
5. Kwa kipindi chote cha mwaka 2023 na 2024 hadi sasa, Chama kimekuwa kwenye program mbalimbali zenye lengo la kukiuhisha Chama kufuatia miaka 7 ya Chama kupitishwa kwenye "Bonde la Uvuli wa Mauti" na hivyo kuathiri kwa kiasi kikubwa mtandao na Uongozi wa Chama katika ngazi mbalimbali kuanzia kwenye Vitongoji, Mitaa na Vijiji. Shughuli zilizofanyika ni pamoja na ziara mbalimbali maeneo kadhaa ya nchi kwa ajili ya mikutano ya hadhara, maandamano, mafunzo, usajili wa wanachama kidigitali, chaguzi kuanzia ngazi za vitongoji, Mitaa, Vijiji, Kata, Majimbo, Wilaya, Mikoa hadi Kanda. Chaguzi hizi za ndani zitahitimishwa na Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama.
Pia, Soma:
+ Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM
Hiki kitu wengi wetu tulipokua tunaambiwa miaka kadhaa nyuma tulikua tunaweza hata kukupiga mawe, kilikua hakiingii akilini lakin kwasasa tumeanza kuona na kuamino hivyo.Mbowe uwa anatumiwa na CCM
Kwenye hii race LISU atabaki shujaa mwisho wa sikuLissu ameshaanza kuingia kwenye kundi la wasema hovyo.
Unapofuta Ibara inayozungumzia ukomo wa uongozi na ku-replace kwa ibara isiyo na ukomo wa uongozi tafsiri yake ndo hiyo! Unatengeneza mazingira ya kuwa na Mwenyekiti wa Kudumu.Mm nakuambia wewe una akili ndogo ununaita watu wamekimbia umande. Hicho unachoita mwenyekiti wa kudumu kimeandikwa ibara ya ngapi ya katiba ya chadema?
Unaropoka kila linalokujia ili mradi uchafue watu kwa faida ya nani?