CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Mipango yao imebuma baada ya chadema kujitoa mpaka aibu maskini. Wanakuna kichwa na Jiwe wao Saahizi.
 
Hahahahahahahahaha, wapinzani kweli wahuni sana. Walianza kutuaminisha CCM haipendwi, na sasa baada ya kuona CCM inapendwa kila kona ya nchi na uwezekano wa CCM kushinda kwa kishindo ni mkubwa basi wameamua kuweka mpira kwapani.
Nchi hii ina mapimbi sijawahi ona, uncomment hivi kabisa na akili zako za standard two.
 
Waswahili husema kufa kufaana baada ya chama kikuu cha upinzani nchini kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kimetoa fursa kwa chama cha ACT wazalendo kuimarika zaidi.

Maana yake ni kwamba kwa sasa Chadema itakosa uwakilishi katika serikali za mitaa jambo ambalo ni hatari sana kwa ustawi wake.

Nina imani Zitto na maalimu Seif hawatasusia uchaguzi ila watapanga mbinu muafaka za kumkabili mwenzao waziri Jafo kwenye uwanja wa uchaguzi kwani waswahili wanasema.......Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.

Poleni sana Chadema

Maendeleo hayana vyama!
Zito lazima asimamishe wagombea huyo tena,ndo dilizake
 
Hatimaye The chickens come home to roost Tanganyika. Yale Yale ya Zanzibar yanajirudia Tanganyika.CCM oyee!
 
Mh. Jafo anacheza tu na akili za watz. ... machoni kama watu ... mioyoni hawana utu...
 
Hivi si wapinzaninwalkua wanatuhamasisha tukajiandikishe

Sasa imekuaje tena

Wanasiasa bhana...
Hivi ushiriki uchaguzi wa namna hii ili upate nini? Na nini hasa unakuwa unakitafuta, yaani upoteze muda kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, hakuna waendelee na Zitto wao huko.
 
Yote yatapita na wananchi wanyonge wa manyovu huku tutabaki kama tulivo.
 
Tuliwaambia kuwa mnapoteza muda kujiandikisha, tukawaambia hakutakuwa na uchaguzi, mkakataa. CHADEMA mmechelewa sana.

Tunasubiri team wasaliti kama nao watasusia.
 
Hivi ushiriki uchaguzi wa namna hii ili upate nini? Na nini hasa unakuwa unakitafuta, yaani upoteze muda kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, hakuna waendelee na Zitto wao huko.
Sawa mkuu mimi hata sikujiandikisha 😂😂
 
Poleni mliojiandikisha, sisi wenzenu tuliyajuwa haya kitambo kabisa.
Sasa mmeshachaguliwa viongozi kabla hata ya uchaguzi kufanyika.
Hovyo kabisa
Hakuna uchaguzi bali CCM wamejipachika kwa njia haramu na za kishetani huu ni ushauri toka kwa Naibu Rais Daud Bashite kwa mtukufu magufuli
 
Back
Top Bottom