Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mipango yao imebuma baada ya chadema kujitoa mpaka aibu maskini. Wanakuna kichwa na Jiwe wao Saahizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
90% ya form zao zimekaliwa.Hivi si wapinzaninwalkua wanatuhamasisha tukajiandikishe
Sasa imekuaje tena
Wanasiasa bhana...
Nchi hii ina mapimbi sijawahi ona, uncomment hivi kabisa na akili zako za standard two.Hahahahahahahahaha, wapinzani kweli wahuni sana. Walianza kutuaminisha CCM haipendwi, na sasa baada ya kuona CCM inapendwa kila kona ya nchi na uwezekano wa CCM kushinda kwa kishindo ni mkubwa basi wameamua kuweka mpira kwapani.
Zito lazima asimamishe wagombea huyo tena,ndo dilizakeWaswahili husema kufa kufaana baada ya chama kikuu cha upinzani nchini kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kimetoa fursa kwa chama cha ACT wazalendo kuimarika zaidi.
Maana yake ni kwamba kwa sasa Chadema itakosa uwakilishi katika serikali za mitaa jambo ambalo ni hatari sana kwa ustawi wake.
Nina imani Zitto na maalimu Seif hawatasusia uchaguzi ila watapanga mbinu muafaka za kumkabili mwenzao waziri Jafo kwenye uwanja wa uchaguzi kwani waswahili wanasema.......Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.
Poleni sana Chadema
Maendeleo hayana vyama!
Labda anapendwa na Bashite?Eti jiwe anapendwa sana, sasa kama anapendwa uhuni wote huu ni wa nini?
Demokrasia kwisha habari yake.Hivi si wapinzaninwalkua wanatuhamasisha tukajiandikishe
Sasa imekuaje tena
Wanasiasa bhana...
Hivi ushiriki uchaguzi wa namna hii ili upate nini? Na nini hasa unakuwa unakitafuta, yaani upoteze muda kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, hakuna waendelee na Zitto wao huko.Hivi si wapinzaninwalkua wanatuhamasisha tukajiandikishe
Sasa imekuaje tena
Wanasiasa bhana...
Haki gani pumbavuKutopiga kura ni kupoteza haki yako kikatiba.
Ila mana ccm yameumia kweli Chadema kujitoa, yamekosa sehemu ya kuhalalishia uchaguzi wao haramu uonekane halali yamenuna balaa mapimbi.Demokrasia kwisha habari yake.
Wamejitoa au mmewatoa?Kimebaki kuwa chama Cha kuzikana wamejitoa kwenye siasa.
Sawa mkuu mimi hata sikujiandikisha 😂😂Hivi ushiriki uchaguzi wa namna hii ili upate nini? Na nini hasa unakuwa unakitafuta, yaani upoteze muda kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, hakuna waendelee na Zitto wao huko.
Hakuna uchaguzi bali CCM wamejipachika kwa njia haramu na za kishetani huu ni ushauri toka kwa Naibu Rais Daud Bashite kwa mtukufu magufuliPoleni mliojiandikisha, sisi wenzenu tuliyajuwa haya kitambo kabisa.
Sasa mmeshachaguliwa viongozi kabla hata ya uchaguzi kufanyika.
Hovyo kabisa