CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Bora baba ako angetumia mpira ila si kwa uchafu huu alioleta duniani.
 
Kwenda mahakamani ni njia mojawapo lakini pia kuna njia zingine ambazo unaweza ukazitumia kama CHADEMA walivyofanya.
 
Hapa ni sawa na mwanafunzi aliyezoe kupiga chabo kwenye mtihani akapangwa darasa zima peke yake
 

Mazingira yaliyopo kwasasa

1. Hakuna tofauti kati ya ccm na Dola
-Polisi, usalama wa taifa, jeshi nk wote ni ccm
-Mahakama hususan pale juu ni ccm wote
-Bunge linajiendesha kiccm 100%

2. Viongozi wa upinzani kwa ngazi tofauti
-Wanakesi za kizushi wala hazina Mashiko
-wapo Walio magerezani
-wapo waliofilisiwa biashara na Mali zao
-wapo waliopotezwa, kuuwawa, kupigwa risasi nk

3. Hakuna ushindani wa kikatiba wala kiimani, ccm Inapora chochote itakacho au kulazimisha maamuzi yoyote kwa faida yake

Mzee Mwanakijiji mkakati au mbinu zipi unazotaka wapinzani wafanye kwenye mazingira haya? Ambako, mahakama, vyombo vya dola, bunge na hata msajili wote wainaimba wimbo wakuitukuza ccm bila kuzingatia matakwa ya katiba?
 
Cuf walisusia uchaguzi mkuu Zanzibar na maisha yanamesonga wazee
 

Hasa wakizingatia uamuzi wa mahakama kuwa hao wakurugenzi wakiapishwa basi watakuwa wasimamizi safi kama malaika? shetani akiapishwa anaweza akaitwa Mungu?
 
Upinzani wana viongozi wapya wengi sana. Hapa nadhani unamaanisha vuongozi waliotumwa na CCM. Kama una maana hiyo wala hakuna maana ya kubishana. Ila kama unamaanisha viongozi wa kweli, kwa ufupi team iliyopo CHADEMA ni the best. Tatizo lipo kwenye vyama mizoga vinavyotumika kuhalalisha chaguzi, au vyama mamluki.
 
Ni sawa na maiti iliokosa wasindikizaji lazima ilalame kwa kujiona kuwa ni maiti yenye mkosi na iliyokosa baraka za mungu.
 
uzushi utakusaidia nini ? ushahidi unaonyesha kwamba 30% ya wagombea wa ccm hawajui kusoma wala kuandika , nani aliwajazia fomu ?
Hao wa chadema wanajua kusoma ila kuandika hawajui .. umeelewa sasa

Ndiyo maana hata kujaza form walishindwa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]


Cc: mahondaw
 
Hakuna jingine zaidi ya kuwa chadema ilikuwa inatafuta sababu za kutafuta mlango wa kutokea unafikiri bila ya kutumia hiyo trick pesa ya kulipia mawakala ungepatikana wapi ilihali chama hakina hata kumi!
Utashinda kwa kishindo usiwe na wasi wasi.
 


Kungekuwa na demkrasia ya kweli angesha jiuzuru baada ya hii kauli.
 
Mkuu unaheshimika sana. Je unaona kuna mazingira sawa ya kisiasa nchini? juzi wagombea walitendewa haki? kwanza kuwe na mazingira sawa ya kisiasa hala ndio tulaumu mengine.. hata wakija wapya kama mazingi tuliyokweka ni hayahaya...
MMK, ARE YOU THAT MUCH SHALLOW?! sikutegemea. Eti mnamlaumu Magufuli! Nadhani wewe umezaliwa juzi, ungelikuwepo wakati wa Idd Aminusingelikuwa na childsh thinking.
Hakuna watu wajeuri kama Waganda. Mbele ya risasi walitoroka wote nchi mpaka walipopata Nyerere akamtoa Idd Amin kwa mtutu wa bunduki, short of that Idd Amin angelikuwepo anatawala , anaua, anateka mpaka leo! Mbona Magufuli anatumia risasi, utekaji and the like kutawala, why all these? take an hypothetical example, let say USA akianza kumpiga Magufuli mabomu kama afghanistan, utamshauri nini? Utampa mbinu gani? take that hypothetical scenario! Exactly this is what Upinzani is facing! Wiil magufuli survive a day?
Basi make a proposal! wapinzani wafanyeje? where is azory, where is ben , where is mawazo? unafanaye siasa mbele ya risasi za moto? They need a new approach! which one? Let them think deep!
 
Hii ndo ilikua njia sahihi tangu enzi ileeeeeeee ya chaguzi za marudiooo,
Na nyie vyama vingine vilivyobakia chukueni hatua km hiyooo
 
Hasa wakizingatia uamuzi wa mahakama kuwa hao wakurugenzi wakiapishwa basi watakuwa wasimamizi safi kama malaika? shetani akiapishwa anaweza akaitwa Mungu?
They need a new approach!
 
exactly, the best!
 
Tatizo mikutano marufuku watawafikia vipi hao unawasema. inahitajika dawa mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…