Naiona sheria hiyo kwa mbaali inakuja.Hawashindwi Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naiona sheria hiyo kwa mbaali inakuja.Hawashindwi Mkuu.
Bora baba ako angetumia mpira ila si kwa uchafu huu alioleta duniani.Wenye akili tulijua toka mwanzo kuwa mtasusia tu. Mlipiga propaganda watu wasijiandikishe mkashindwa. Mkawarubuni wagombea wenu waharibu ili wakatwa ionekane mmekatwa kwa kuonewa, ili uchaguzi usifanyike, imeshindikana. Sasa dawa ni kujitoa. Nami nasema, JITOENI.
Kwenda mahakamani ni njia mojawapo lakini pia kuna njia zingine ambazo unaweza ukazitumia kama CHADEMA walivyofanya.Chadema walionyesha tangu mwanzo hawataingia kwenye uchaguzi pale walipowakataza wanachama wake kujiandikisha. Kama walikuwa na nia ya kuingia kwenye uchaguzi kwa nini hawajaenda mahakamani kusimamisha zoezi zima la uchaguzi baada ya kuona lina dosari?
Hapa ni sawa na mwanafunzi aliyezoe kupiga chabo kwenye mtihani akapangwa darasa zima peke yakeKujitoa CHADEMA maana yake wamejitoa wapiga kura, Hiyo Tarehe 24/11 utaona vituo vya kupigia kura vitupu. Maana wamezoea kuiba kura za chadema na kuzifanya zao sasa wana hahaha kwa sababu watamuibia nani na hakutakuwa na cha kuiba. Kura hazitokuwepo, na wapigaji hutowaona siku hiyo ndiyo maana ccm wanalalama
Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
Cuf walisusia uchaguzi mkuu Zanzibar na maisha yanamesonga wazeeNadhani hii ni sehemu nzuri sana ya kuanzia harakati za ukombozi.
Huyo mwenyekiti wananchi wengi wa eneo lake hawawezi kumkataa? Yeye atakuwepo tu kuongoza hata kama watu hawatambui uongozi wake?
Uongozi hauishii kwenye kushika mihuri tu, yapo mambo mengi yanayohitaji ushiriki wa watu unaowaongoza. Kama hao watu hawakupi ushirikiano, utawaongoza vipi?
Au sasa hadi mahabusu yatahamishiwa hadi huko mitaani? Na bunduki zipo huko?
Mijadala ya JF ingekuwa na nguvu, hili ni swali zuri la kulijadili.
CHADEMA wakiwa makini, wasiishie tu katika kususia uchaguzi. Huu ndio ungekuwa mwanzo wa kuangalia njia zinazofaa kuwa'undermine' hawa watu wanaoteuliwa kuongoza watu ambao hawakuwachagua kwa utashi wao.
Alikuwa hatanii aliposema... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi.
kwa haya yanayoendelea leo, you need anew approach! a new approach! Kwa haya ya uchaguzi, you are justified for any new approach!
Upinzani wana viongozi wapya wengi sana. Hapa nadhani unamaanisha vuongozi waliotumwa na CCM. Kama una maana hiyo wala hakuna maana ya kubishana. Ila kama unamaanisha viongozi wa kweli, kwa ufupi team iliyopo CHADEMA ni the best. Tatizo lipo kwenye vyama mizoga vinavyotumika kuhalalisha chaguzi, au vyama mamluki.Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
Hao wa chadema wanajua kusoma ila kuandika hawajui .. umeelewa sasauzushi utakusaidia nini ? ushahidi unaonyesha kwamba 30% ya wagombea wa ccm hawajui kusoma wala kuandika , nani aliwajazia fomu ?
Utashinda kwa kishindo usiwe na wasi wasi.Hakuna jingine zaidi ya kuwa chadema ilikuwa inatafuta sababu za kutafuta mlango wa kutokea unafikiri bila ya kutumia hiyo trick pesa ya kulipia mawakala ungepatikana wapi ilihali chama hakina hata kumi!
Mkuu unaheshimika sana. Je unaona kuna mazingira sawa ya kisiasa nchini? juzi wagombea walitendewa haki? kwanza kuwe na mazingira sawa ya kisiasa hala ndio tulaumu mengine.. hata wakija wapya kama mazingi tuliyokweka ni hayahaya...
MMK, ARE YOU THAT MUCH SHALLOW?! sikutegemea. Eti mnamlaumu Magufuli! Nadhani wewe umezaliwa juzi, ungelikuwepo wakati wa Idd Aminusingelikuwa na childsh thinking.Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
They need a new approach!Hasa wakizingatia uamuzi wa mahakama kuwa hao wakurugenzi wakiapishwa basi watakuwa wasimamizi safi kama malaika? shetani akiapishwa anaweza akaitwa Mungu?
exactly, the best!Upinzani wana viongozi wapya wengi sana. Hapa nadhani unamaanisha vuongozi waliotumwa na CCM. Kama una maana hiyo wala hakuna maana ya kubishana. Ila kama unamaanisha viongozi wa kweli, kwa ufupi team iliyopo CHADEMA ni the best. Tatizo lipo kwenye vyama mizoga vinavyotumika kuhalalisha chaguzi, au vyama mamluki.
Tatizo mikutano marufuku watawafikia vipi hao unawasema. inahitajika dawa mbadala........................... Acheni mengine yote, jikiteni huko huko mitaani kuwasihi wananchi watuondolee hili zimwi lililovamia nchi yetu. Hata CCM waliobakiwa na akili kidogo watawaunga mkono mkiwaelewesha vizuri hatari inayotukabili kutokana na matendo ya utawala huu.
Hawanaga aibu haoDuh.....ila serekali ikubali imeteleza