CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Tujitoe na uchaguzi wa 2020. Ndio imani yangu itarudi rasmi chadema. Tuwaachie kila kitu wakose wa kumlaumu maana sasa hv kila kitu ooh upinzani hautaki maendeleo...after wataanza kulana nyama wenyewe kwa wenyewe
 
Tusifurahie sana Vyama vya upinzani kujiengua kwenye Uchaguzi. Hii ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Wazee wenye Busara lisaidieni Taifa.
Sio mara yao ya kwanza kujitoa!
 
Angalau sasa Jafo na maafisa tendaji watapumua na kuwa karibu na familia zao kwani wengine walikuwa wakilala nje ya ofisi zao kwa ajili ya kukwepa kupokea na kutoa fomu za wapinzani
 
Bora wameepusha damu za watanzania wasio na hatia kumwagwa na haya mashetani ya kijani
Naona kuna Faida chache na Hasara nyingi kwa CHADEMA Kujitoa katika hizi Chaguzi. Sauti zao za Malalmiko huenda zingesikika kwa uharaka na kupatiwa Ufumbuzi hata Kimataifa. Maamuzi yao haya ni ya Kimhemko, Kimkakati na Kipropaganda zaidi.
 
Nawaunga mkono, uchaguzi huu umesha najisiwa na CCMDOLA. Sasa wakajipongeze kwa "ustaraabu" walio onyesha. Kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 itabidi wapinzani wawe na budget maalum ya kupigania mchakato bora kisiasa na kimahakama.
 
Asante sn CHADEMA.Dunia nzima inajua kilichopo na sie watanzania tunajua.Hatuwezi shiriki upuuzi huu ndo maana hata kujiandikisha hatujaenda.

Maccm endeleeni kutawala vile mnataka ila Mungu yupo.
 
alisema Lisu tukampuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…