CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Mwingine siku ile anayotakiwa kurudisha eti anafatwa kwake na polisi kukamatwa anawekwa ndani
Ni maamuzi mazuri...kwa maslahi mapana ya Taifa, imagine mtu anachukua form ya kugombea halafu anaenda Kupigwa mapanga usiku ..au mwingine amejaza form vzr anaambiwa amekosea...
 
ulingo uliofungwa tunaukimbiaje ?
Eti bwana, angalia
1573143018924.png
 
Kwa ss tz haihitaji upinzani kwani hakuna ambapo anko magu hajapakuna hivo hakuna kuwashwawashwa. Mnaowashwa mfuateni master wa mashoga ubelgij
 
Faida ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ni kuongezeka kwa ajila ya vijana. Wengi watahitajika kupingana either upande wa ccm au wa vyama vya kidemocrasia
 
Yaani figisu figisu hadi kwenye tu-uchaguzi tudogo kama hiki,halafu unasema unakubalika,uoga wa nn sasa kama unajiamini,si uweke fair ground ili ujipime namna unavyokubalika?

Inawezekana ni kweli hata hyo phd ya korosho ni fake kweli na ndio maana fikra za kipuuzi za kuumaliza upinzani kitoto hivi zinatamalaki,mtu mwenye elimu ya ukweli ambayo sio fake hawezi kulazimisha ushindi na ndio maana hata phd yake fake alilazimisha.
 
Eti jiwe anapendwa sana, sasa kama anapendwa uhuni wote huu ni wa nini?
__eti amejenga uwanja wa ndege amejenga reli amajenga madaraja dar anajenga na Stieglarsgog amefukuza wafanyakazi hewa bado mpaka kwenye uchaguzi serikali za mitaa hajiaminin anajua ataangukia pua ujinga ni kuwaita watendaji ikulu na kuwagiza kama walivyofanya
 
Salama wana bodi.

Tangu kuondoka kwa Dr Slaa ,Chadema haina ubunifu wala mvuto kwa wananchi tena. Hela walizokuwa wanapata kutoka kwa wafadhili zimekatika, chama kina njaa kali lakini ukweli huu hausemwi!!.

Mathalani wakati wa kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema mkoa wa Kilimanjaro hawakuweka mawakala na alipoulizwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Kilimanjaro kwa nini chama hakiweki mawakala? Alisema Chadema hakina pesa ya kuwalipa mawakala shs 5000 kwa kila siku kwa siku 30 za uandikishaji!

Freeman Mbowe baada ya kuona maji ya shingo, sasa amekuja na mbinu mpya kugomea kushiriki kila uchaguzi ulio mbele yake na akiulizwa anasema ,sababu ni ubinywaji wa democrasia wakati si kweli. Ukweli ni kwamba chama hakina pesa..
Hata mchakato wa ndani wa chama kutafuta wagombea kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema haikufanya.!!
Screenshot_20191107-171511.jpeg
 
Tena walichelewa sana kutoa msimamo,na nitashangaa sana kama watageuka tena,watoe taalifa kwenye vyombo vya habali kuwatangazia wanachama wao,ili tusipate ghalama ya uchaguzi,na vyama vingine visivyo wa wachumia tumbo kama kina ndg.NYEPESI vyote vitoe tamko
 
Salama wana bodi.

Tangu kuondoka kwa Dr Slaa ,Chadema haina ubunifu wala mvuto kwa wananchi tena. Hela walizokuwa wanapata kutoka kwa wafadhili zimekatika, chama kina njaa kali lakini ukweli huu hausemwi!!.

Mathalani wakati wa kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema mkoa wa Kilimanjaro hawakuweka mawakala na alipoulizwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Kilimanjaro kwa nini chama hakiweki mawakala? Alisema Chadema hakina pesa ya kuwalipa mawakala shs 5000 kwa kila siku kwa siku 30 za uandikishaji!

Freeman Mbowe baada ya kuona maji ya shingo, sasa amekuja na mbinu mpya kugomea kushiriki kila uchaguzi ulio mbele yake na akiulizwa anasema ,sababu ni ubinywaji wa democrasia wakati si kweli. Ukweli ni kwamba chama hakina pesa..
Hata mchakato wa ndani wa chama kutafuta wagombea kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema haikufanya.!!View attachment 1256773

Kwaiyo ulitaka wafanye nn? Sasa kama watu wao wametolewa ulitaka washiriki uchaguzi wa kitu gani
 
Back
Top Bottom