Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kimebaki kuwa chama Cha kuzikana wamejitoa kwenye siasa.
Ni kweli kuliko kushiriki siasa za kishenzi, ni bora kuwaacha washenzi mshiriki huo ushenzi wa mtu mweusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimebaki kuwa chama Cha kuzikana wamejitoa kwenye siasa.
Kutopiga kura ni kupoteza haki yako kikatiba.
Ccm ni malaika wamekamilika?Walioenguliwa ni wale tu wenye mapungufu kwa mujibu wa wasimamizi wa uchaguzi.
CCM ni laanaHivi hawa mababu wanaacha kufanya toba wanashiriki kukandamiza watoto wao,njaa hizi!
Huko wanakoishi hamuwaoni hawa?
Demokrasia ya CCM, kwa ambayo lazima wao washinde hata kwa goli la mkono.Hahahaaa.......!
Chadema bhana washaanza kujibiwa!
Anyway wananchi watawakilishwa na yoyote atakayeshinda hiyo ndio demokrasia!
Ukenge tena😃😃,ok,Katiba ya JMT 1977Katiba gani we kenge
Kama chama gani kitakacho take over?Walichofanya kitaathiri zaidi chama chao kuliko kukijenga na hapo wanaacha mwanya kwa chama kingine ku'take over'.
Nadhani viongozi wa chadema wameongeza chuki zaidi baina ya wananchi kuliko ccm,kwa sababu muda wa rufaa huu ungefaa sana kwa mazungumzo kuona kwanini wameenguliwa kuona uhalali na ubatiri na baadae ndo maamuzi yangefuata.
Walioenguliwa ni wale tu wenye mapungufu kwa mujibu wa wasimamizi wa uchaguzi.
Ubongo wa Jaffo uchunguzwe , si mzima
umemsikia pole pole?,anasema wao hawajajazia vyumbani bali kwa wanasheria wao.Ccm ni malaika wamekamilika?
Mtendaji wa kata anaposema chama cha ACT-Wazalendo hakijasajiliwa na anaikataa form ya mgombea.Walioenguliwa ni wale tu wenye mapungufu kwa mujibu wa wasimamizi wa uchaguzi.
ACT-Wazalendo.Kama chama gani kitakacho take over?
Si wewe tu , nimepigiwa simu nyingi mno za ndani na nje ya nchi kwa ajili ya pongezi za Chadema kwa kukataa kushirikiana na Shetani .Hapo Naanza Kuwa na Imani tena na Chadema
Walichofanya kitaathiri zaidi chama chao kuliko kukijenga na hapo wanaacha mwanya kwa chama kingine ku'take over'.