Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa kazi imeanza. Ngoja tuone nani ata bow down. Time always tells the truth.Sasa Kazi ndio imeanza rasmi
inawezekana vipi usimtambue mtu unayehitaji muhuli wake kila mara?
Nani atakusikia bank kwamba humtambui mwenyekiti wako?
Pigo kwa lipi mkuu? Kwani ni mara ya kwanza vyama vya upinzani Tanzania kujitoa kwenye uchaguzi? CUF Mara ngapi wanajitoa? Liliishawahi kuwa pigo kwa CCM? Chadema kujitoa kwenye uchaguzi ni jambo jipya? CCM iliishapata pigo wapi kwa Chadema kujitoa? Sana sana tunaomba na mwakani mjitoe kwenye udiwani. Mjitoe kwenye ubunge na mjitoe kwenye urais. Halafu tuone kama Chadema itaendelea kuwa moja zaidi ya kuwa kama CUF ya sasa.Figisu na ubabaishaji katika uchaguzi serikali za mitaa ulifanywa ili kuwapitisha bila kupingwa wagombea wa CCM. Ajabu ni kuwa Chadema imejitoa ili wajitangaze washindi wa kishindo, lakini ghafla wao tena ndio wananyong'onyea na kulalama?
Vyama vingine vikiamua kuunga mkono Chadema kwenye uchaguzi litakuwa pigo kubwa kwao.
Una juhudi kuwa sana ya kuandika ili kuitendea haki posho unayopewa, lakini ni bahati mbaya kuwa eitha hakuna mawasiliano kati ya ubongo na unacho andika au kichwani hakuna ubongo at all.Hiyo Ndio demokrasia
Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine
TLP itatoa ushindani sasa
Usishangae Mwanasheria mkuu wa serikali na waziri wa sheria na katiba wakaja na sheria na Wakapitisha kwamba " chama kikijitoa au kutokushiriki uchaguzi wanakifuta". hii itawakua inawapa shavu ccm kuiba.
Yajayo yanafurahisha
Chadema kimeshavuka huko kwenye kutishiwa kukifuta.Usishangae Mwanasheria mkuu wa serikali na waziri wa sheria na katiba wakaja na sheria na Wakapitisha kwamba " chama kikijitoa au kutokushiriki uchaguzi wanakifuta". hii itawakua inawapa shavu ccm kuiba.
Tutaishi kama enzi za babu zetu walivyokuwa wanaishi kwa kuheshimiana, mdogo ana muheshimu mkubwa na kufuata maelekezo yake kama kiongozi.Msipowatambua inamaana mtaishije huko makwenu?..
Ila mlikuwa kimya hadi nimesoma hamkusaidiana kujaza fomu vizuri.. kama kawaida munasubiri.. ndio munakurupuka..
Mkuu unaheshimika sana. Je unaona kuna mazingira sawa ya kisiasa nchini? juzi wagombea walitendewa haki? kwanza kuwe na mazingira sawa ya kisiasa hala ndio tulaumu mengine.. hata wakija wapya kama mazingi tuliyokweka ni hayahaya...Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
Msipowatambua inamaana mtaishije huko makwenu?..
Ila mlikuwa kimya hadi nimesoma hamkusaidiana kujaza fomu vizuri.. kama kawaida munasubiri.. ndio munakurupuka..
Nenda kashiriki Uchaguzi, Mbowe hatokuzuia. Kilichojitoa ni chama cha CHADEMA unaweza kuchagua viongozi wa vyama vingine, kuna vyama zaidi ya 25 kwenye kitabu cha msajili wa vyama, wala usiumie sana kwa CHADEMA kujitoa.Mbowe wewe ni kiongozi wa chama cha siasa.
Lengo kuu la chama chochote ni kushika dola.
Unatakiwa kutambua kususia uchaguzi maana yake ni kuwadhulumu wananchi.
Sio kila mtaa majina yamekatwa, sasa madudu mliyofanya huko kwenu Hai unataka tuumie na tusiousika.
Hiki chama sio cha viongozi, maana ya maamuzi yenu ni kuua chama, serikali inaanzia mtaani, kama mnaona hamtendewi haki mbona ubunge mnaendelea?
Mbowe ni jipu litumbuliwe.
Nakubaliana na wewe mkuu wanataka sie wakulima tufanye kazi yao [emoji1666]OOOh, Yeah! Haya mambo ya kujiliza liza na kusema CCM wanatumia nguvu, halafu unajiondoa, hayafai. Unataka nani akusaidie hiyo kazi yako ya siasa? Mimi ni mkulima mbona jua likiwaka natafuta mbinu mwenyewe bila kuwalilia wanasiasa?
Wanasiasa wanataka tuwe mateka wa kazi yao. CHADEMA, ACT, pambana na CCM. Wakitoa virungu nanyi toeni virungu. hiyo ni kazi yenu!
wewe si juha hujui kesho yako itakuwaje!+ A new approach! of whatever means!OOOh, Yeah! Haya mambo ya kujiliza liza na kusema CCM wanatumia nguvu, halafu unajiondoa, hayafai. Unataka nani akusaidie hiyo kazi yako ya siasa? Mimi ni mkulima mbona jua likiwaka natafuta mbinu mwenyewe bila kuwalilia wanasiasa?
Wanasiasa wanataka tuwe mateka wa kazi yao. CHADEMA, ACT, pambana na CCM. Wakitoa virungu nanyi toeni virungu. hiyo ni kazi yenu!
Kinaweza kufutwa kama chama chochote kile, na huo mtego ndio chadema wamesha uona hawaingii. Kwanza viongozi walijitokeza kuhamasisha watu kujiandikisha wakati wananchi walikuwa wamegomea zoezi hilo.Chadema kimeshavuka huko kwenye kutishiwa kukifuta.
Kufuta Chadema ni sawa na kutangaza asubuhi moja kuwa umefuta JWTZ na unawataka askari wote warudi majumbani siku hiyohiyo watawanyike.