Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kama vyama vya siasa ni vichafu by default, kwanini hukumshauri huyo jamaa yako asijiunge na chama cha siasa, badala ya kuja kulalamika hapa kwa story isiyo na ushahidi wowote?Mzee kama una standards ndogo ulizojiwekea katika kuwasilisha kitu usidhani kila mtu yupo kama wewe. Siwezi kutunga uongo over maisha ya mtu.
Umetoa hoja ya wewe kutoa magari and then next thing you can do ni kuniambia natunga uongo? Ili kuchafua chama cha siasa? Vyama vya siasa ni vichafu by default.
Halafu pitia matumizi ya hizo question mark zako kama unaziweka sehemu sahihi, ili huo umakini wako uonekane. Standard zako zitaonekana hata kwenye uandishi wako.