CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Jipangeni kuua kama mlivyoelekezwa, Lakini Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Waambieni viongozi wa Chadema waandike barua icc kuwaomba waelekeze macho Yao kwenye maandamano hayo,Ili kushuhudia endapo kutatokea ukiukwaji wa haki za binadamu kutoka kwa polisi na kusababisha vifo vya wananchi wasio na hatia na polisi watakaohusika wafunguliwe mashtakakwenye mahakama hiyo.
 
Nami nitasafiri kutoka popote nitakapokuwa ili tarehe 23 nishiriki maandamano ya kutetea haki ya msingi ya kuishi.
Hakika Mkuu tusipoangalia Watoto wetu na wajukuu zetu watatucheka na kutukana makabuli yetu.

Je tutakuwa na faida Gani? Maliasili zetu zimepolwa tupo kimya Sasa tumeanza kuporwa uhai wetu Bado tu tusipinge?

Hakika nitakuwa site 23
 
Chadema ipi hiyo inawaza kuandamaa!? Waache kuharibu amani ya nchi yetu ,vijana nawasihi sana msikubali kutumika na wanasiasa wahuni wa namna ya mbowe na lissu kuvuruga amani ya nchi yenu.

Nawakumbusha tu,Lissu ni raia wa ubelgiji
 
Watanzania tukiweza kuhimili matoke kama haya, basi tumeshinda!

Probable consequences ni hizi...c&p



Lethal Repression of Peaceful Protest in Africa. Why Do (non-)Accountable Why Do (non-)Accountable and Military Regimes Shoot

1. No one expected hundreds of thousands of citizens taking to the streets against authoritarianregimes during the Arab Spring.
2. The Middle East and North Africa were characterized by little social mobilization.
3. Furthermore, many states maintained a strong security apparatus (oil rents)and possessed international support (Bellin 2012, 129).
4. It was not surprising that manyauthoritarian regimes were willing to use lethal repression against protesters.

In Tunisia thepolice shot on protesters, Mubarak’s regime in Egypt killed close to 1,000, Gaddafi’s securityforces killed protesters in Benghazi, as did the regimes in Yemen, Syria and Bahrain.1
 
With all due respect. Tanzania haijafikia huko kwemye maandamano. Chadema wanatafuta attension tu ya madai yao lakini mtu wa kuandamana simuoni pale.
 
ICC kikundi cha wahuni tu kile. Marekani na washirika wake wanafanya umafia kila kukicha wameshatoa jina la lani akamatwe.
 
Arusha Mitaa Ya NBC Bank Kuelekea Mt Sanawari Limepita Gari Washawasha zile zililetwa na Kikwete Muda si Mrefu.. Nimesikia Wananchi wanasema "Hatuogopi"
 
Hakuna kurudi nyuma ,maandamano yapo pale pale.

Aluta continua victoria acerta.
 
Kuna watu washaweka ok ticket zao na maombi ya ukimbizi yamekubaliwa ubelgiji na canada!
 
Umechanganyikiwa dadangu ?!! 😲
Kweli shetani hamshindi mwenyezi Mungu na ndio maana mh.Rais ametoa maelekezo ya uchunguzi na kutafutwa hao hayawani wanaodhuru watanzania wenzetu.....

Papara ya nini na wakati tamko limeshatolewa?!!
Shida ni mtuhumiwa namba moja ni polisi kwa mujibu wa chadema raisi anaogopa nini kuunda tume ya kijaji mzizi huu wa fitina ukaisha?
 
Umechanganyikiwa dadangu ?!! 😲
Kweli shetani hamshindi mwenyezi Mungu na ndio maana mh.Rais ametoa maelekezo ya uchunguzi na kutafutwa hao hayawani wanaodhuru watanzania wenzetu.....

Papara ya nini na wakati tamko limeshatolewa?!!
Nahisi lengo la maandamano bado ni zuri. Kwa vile Mama yetu amelaani kitendo kile, maandamano ni watu kuonyesha hisia kwa vitendo kuwa akaze boots zaidi hao wauwaji wadhibitiwe. Akieleweshwa tofauti kama ninavyoona matamko ya dola, basi yatakayojitokeza.
 
Vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…