CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Suala la maandamano kwa Wa-Tz baaaaado sana...... ongeeni, tukaneni lakini ukweli ndio huo, tunajazana upepo humu lakini ikifika siku yenyewe kila mtu anaamkia kwenye shughuli zake, hata hiyo J3 nawahakikishia maandamano hayafanyiki niko hapa Mwanza
 
Nchi inaelekea kubaya ,sababu tu ya wajinga wachache ndani ya ccm , kwa kulinda maslahi binafsi wala sio chama wala taifa.

Majitu yanadhani yanapigania chama na mwenyekiti wao baki madarakani kumbe ndo wamearibu vibaya sana.
Twende mpaka kufika siku 47 mtashangaa asema Bwana
 
Kweli warudishe hata mafuvu
 
Hakuna wa kuandamana inchi hii, vijana wenyewe asilimia tisini ni.....

Aahh wacha niishie hapa tu

Upinzani bado sana, labda upinzani wa kutengeneza ili kudanganya ulimwengu na demokrasia feki
 
Naogopa. Viongozi wangu wapime kwa umakini mkubwa madhara yanayoweza kutokea haswa kwa raia wa kawaida.
 
Mnawapeleka WATOTO watu FRONT kwa manufaa yenu wenyewe.
Nendeni mkipigwa shaba msije kulalamika humu.
 
Peopleeeeeeeeeeesssssssssss!!!!!
 
Mm siwezi kuandamana ila kuna jamaa ni polisi ana biashara nzuri kwenye fremu yangu nimempiga notice nataka palekebisha kacjanganyikiwa ,ukweli akitoka napafunga tu naapacha.

Ubaya ubwela.
 
Hakika, inafahamika wataua lakini Je wataua wangapi ?
Kuongea rahisi.
Kushiriki tukio jambo lingine kabisa tena la kijasiri.
Nawakubali Dr.Slaa na Mnyika waliokula kipigo kwenye matukio Arusha na Mbeya respectively.
 
Jana nlipiga konyagi wakaja vijana wamevaa zile nguo za maovaloli ya taka asubuhi kama 12 kuwaona nkapiga kelele " nqtekwaaa natekwaaaa " konyagi imeisha ndo najiuliza sa wanitekee nini mtu mwenyewe sina hata kadi ya chama
 
Ukweli ni kuwa chama tawala cha CCM kimekiri kuwa haki ya msingi ya kuishi ambayo ipo kikatiba inabunjwa. Kwa ufupi ni kuwa katibu mkuu wa CCM amekiri kuwa chama chake ambacho kinawajibu wa kulinda uhai wa kila Mtanzania kwa kulisimamia jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama kimefeli kufanya usimamizi.

Ameenda mbali na kudai kuwa CHADEMA hawawezi kufanya uhalifu wa kupoteza uhai wa Watanganyika kama mzee wetu aliyeuwawa kikatili.

Lakini haya yote Yeye Katibu mkuu wa CCM, Polisi Tz wanatoa kauli zao baada ya CHADEMA kutoa neno kuwa wataandamana tare 23 sept. 23. Kumbe bila tishio la Cdm kuwa CHADEMA wataandamana kutetea haki ya Watanganyika kuishi basi tusinhemsikia Nchimbi akileta danganya toto.
 
Sijui niseme nini kuhusu uzito wa maneno yako haya mkuu. Nimebaki tu nikitafuta jina ili niweke kumbukumbu akilini mwangu.
 
Suala la maandamano kwa Wa-Tz baaaaado sana...... ongeeni, tukaneni lakini ukweli ndio huo, tunajazana upepo humu lakini ikifika siku yenyewe kila mtu anaamkia kwenye shughuli zake, hata hiyo J3 nawahakikishia maandamano hayafanyiki niko hapa Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…