Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna mpuuzi wa kuunga mkono ujinga na upuuzi huo wa CHADEMA. Ninyi endeleeni kuliwa Ruzuku na michango yenu huko huku mkiswagwa kama mang'ombe kupelekwa machinjioni.
Wewe kapuku huiwezi Chadema hata kwa Uchawi
 
"CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE",
 
Hakuna mpuuzi wa kuunga mkono ujinga na upuuzi huo wa CHADEMA. Ninyi endeleeni kuliwa Ruzuku na michango yenu huko huku mkiswagwa kama mang'ombe kupelekwa machinjioni.
Mijitu mipuuzi kama wewe mtajuaje umuhimu wa demokrasia. CCM wamewashikia akili wanawapelekesha kama minyumbu huku wao wakiendelea kutafuna keki ya taifa. Mipuuzi kama wewe ni zaidi ya panyaroad wa Chalamila. Bora muuawe tu. Kufulilah!
 
Hakuna wa kuwaungeni mkono ninyi mafisi wa CHADEMA
 
Naunga mkono hoja yako. Nilitegemea Sana Kwa vile serikali haijaleta schedule of amendments, huwezi kulalamikia kitu ambacho hakijafika angalau kwenye wasilisho la mwisho. Mpaka Sasa serikali inaweza kuja marekesho ambayo yatakidhi Kila kitu, je maandamano yatasimama?
 
Mr P, Chadema haitakuwa sahihi hata siku moja, enzi za Tanu waliandamana na CCM wameandamana na maandamano hayatatui tatizo yanafanyika ili kufikisha ujumbe kwa jumuia unapokataliwa kusikilizwa, huenda hata wewe ulipokuwa chuoni uliwahi kushiriki. Mr. P, CCM inakosea sana kuogopa kupokea maoni, maoni ni maoni tu haulazimiki kuyakubali yatimizwe, mkorofi siku zote huwa na hasira anapopelekewa maoni kwa sababu anakuwa tayari ana mipango yake ambayo anataka wote wayakubali bila kutoa maoni. Kwenye 4R kuna kuvumiliana na kusikilizana na ukiamua ufanye siasa za 4R uwe tayari kusikiliza maoni na ushauri, si lazima utimize ulichopewa, hapo ndipo mnapofeli kwa kuamini wenzenu ni manyani.
 
Chadema wanakuwaga na ujinga Mwingi wakati fulani!
 
[emoji28][emoji28][emoji28] we jamaa uwasilishaji wako unafurahisha sana
 
Mkuu una wazazi ambao wapo hai?
 
Salute kwa hili. " Serikali yetu ni serikali ya anasa" F.Mbowe
 
Wanapata sifa Sana wakizuiliwa

Serikali this time waaacheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…