JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Pele limepata mkunaj. Jiji limempata gwiji....anayeendana nalo miondoko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa commedian sanaa .... kuna clip anasema kwa wenza ukisikia mwenzio anaimba "....mtarimbo huo mtarimbo huoo ...mtarimbo umelala doro.." ujue una la kesi
Mkuu hapo mwisho hauko sahihi. Hususan wapinzani ndani na nje ya bunge wamelalamikia sana katiba na sheria kutozingatiwa tangu awamu zilizopita. Na wengine imewagharimu vilema hadi vifo.Ndio maana Mimi nikiona watu wanalilia katiba mpya nawaona kama machizi tu. Tatizo la hii nchi sio katiba ila ni usimamizi wa hiyo katiba. wanao taka katiba mpya wangehakikisha kwanza katiba na sheria zilizopo zinafuatwa kiuhakika.
Ni mara chache sana kusikia viongozi wetu iwe wa chama tawala au upinzani wakisimama na kukemea usinginaji wa katiba/ sheria
Unajua job description yake?Hajaletwa Dar kuhamasisha ulevi, afanye kilichomleta.
Enhe, alishinda kwa kishindo uchaguzi wa kidemokrasia wa 1933...Hitler baada ya kushinda uchaguzi wa kidemokrasia kwa kishindo 1933, . alichekewa hivi hivi..... Kisha akajitangaza mtawala mkuu (führer) wa Ujerumani
Anajua anatawala watu wa aina gani,Huu ujinga ujinga utaisha siku CCM ikiondolewa madarakani tu.
Sheria zipo ila matamko ya kipuuzi hayaishi kila siku
Katiba mpya ni muhimu sasa
Toa huu ujinga, wapelekee wabungeKwani sheria za Noise pollution zinasemaje?
Ni kiasi gani cha noise level ndio kinaruhusiwa in sound pressure level SPL or decibel dB?
Hapa Tz cyo kemya . TUNA NAMNA YRTU YA KUISHI KIJAMAAWajinga njoo mshangilie, Taifa lina sheria za kisiasa tu, Naipenda Katiba ya Kenya, Gavana wa Count ndio ana fina say na haweI ingiliwa na kiongozi yoyote yule akiwemo Raisi, Ila Bongo Mkuu wa wilaya tu anaweza batilisha sheria
Wewe huna akili ya kuelewa nilicho kiuliza,ndio maana umekuja kutingisha tu kalio badala ya kujibu maswali yangu.Toa huu ujinga, wapelekee wabunge
Sasa huko ndo magufuli alikokua akitupeleka lilikua ni swala la muda tu....!Excellent point.
Hitler baada ya kushinda uchaguzi wa kidemokrasia kwa kishindo 1933, alichekewa hivi hivi na mamilioni ya Wajerumani akapitisha miswada kibao bungeni kubadili katiba ya kidemokrasia ya Ujerumani kujipa madaraka makubwa akidai ni muhimu ili kuimarisha taifa nyakati hizo za migogoro mingi ya kimataifa.
Hawajakaa sawa akajaza watu wake kwenye taasisi zote muhimu za nchi pamoja na majeshi yote. Kisha akajitangaza mtawala mkuu (führer) wa Ujerumani na kutawala kama absolute dictator hadi kifo chake akiacha Ujerumani hoi zaidi ikigawanywa na kutawaliwa na US/Europe upande wa Magharibi na USSR upande wa Mashariki.
Ndio hasara ya kuchekea watu waovu.
Nimekusoma mkuuMkuu hapo mwisho hauko sahihi. Hususan wapinzani ndani na nje ya bunge wamelalamikia sana katiba na sheria kutozingatiwa tangu awamu zilizopita. Na wengine imewagharimu vilema hadi vifo.
Tatizo bado ni katiba hii hii. Huwezi kusimamia utekelezaji wake endapo viongozi na watendaji husika wanajali kauli ya mtu mmoja tu ambaye ndiye mamlaka ya uteuzi wao. Tena huyo mamlaka ya uteuzi anaweza hata kuamua nani awe mbunge au asiwe! Huyo asipotaka mtendaji mbovu aondolewe, hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kumchukulia hatua. Hata mahakama haina ubavu huo! Unategemea nini hapo?