Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Naona bwana king'ang'a anasambaza propaganda zilizokosa kichwa miguu wala shingo.

kwa watu makini majibu ya propaganda yake wanayapata kwenye uzi wangu nilipoainisha sifa zangu.
nilisema hivi.👇

2. Nimewahi kumiliki hela za kutosha.

Kwa maana hii basi natambua kiburi na jeuri ya pesa hivyo siwezi kutenda kosa lolote pindi chama kikipiga hatua za kimaendeleo, sio kama huyu king'ang'a ambae amepata kibarua cha kujitolea Monchwari tu anaanza kutishia wanaume wote kwamba hawatobaki salama majobless wakiwamo.
Nipeni kura za kutosha Kijana Masikini ambae nina uzoefu wa kutosha wa mafanikio.
 
Kijana njoo mjini Taratibu, umeaga kwenu huko masumbwe ??
 
Hii ina maana uki zipata hela, uta anza kututukana hovyo na kuto kiheshimu chama.
 
View attachment 3397879
Naona bwana king'ang'a anasambaza propaganda zilizokosa kichwa miguu wala shingo.

kwa watu makini majibu ya propaganda yake wanayapata kwenye uzi wangu nilipoainisha sifa zangu.
nilisema hivi.👇

2. Nimewahi kumiliki hela za kutosha.

Kwa maana hii basi natambua kiburi na jeuri ya pesa hivyo siwezi kutenda kosa lolote pindi chama kikipiga hatua za kimaendeleo, sio kama huyu king'ang'a ambae amepata kibarua cha kujitolea Monchwari tu anaanza kutishia wanaume wote kwamba hawatobaki salama majobless wakiwamo.
Nipeni kura za kutosha Kijana Masikini ambae nina uzoefu wa kutosha wa mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…