Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
na mimi ndo hapo hapo inaleta no record foundmm nimekwamia Tu hapo kila nikijaribu kuandika namba ya NIDA inasoma inaniletea no record found
, Msaada tafadhali Jana nimekesha kwenye kipengele hicho paka bando likaisha
Tuache kupigana fix bhan asilimia 60 we umeionea wapi hizo data shenzije kama ulicho kifanya kwenye ajira2.tpf.go.tz hakionekani ajira.tpf.go.tz sasa uliwezaje kuingia,izo zote zinapeleka data kwenye database moja ya jeshi la polisi na zaidi ya asilimia 60 wameombea kupitia ajira2
Mwisho lini?Msaada jmni muda unazdi kwenda ila sioni maendeleo yoyote
Mwisho KeshoMwisho lini?
keshoMwisho lini?
Sbr uck wa manane mkuuyaani leo ata kulogin ni changamoto asee daaah msaada jmn kwa aliyefanikiwa
Nmesubili ucku kwa siku mbili ila amna ktuSbr uck wa manane mkuu
KWa wanaomba kupitia fani n lazima waadd na vyet vya 4m 4 na six kama vipo?Sbr uck wa manane mkuu
Unatumia mtandao gaini?Nmesubili ucku kwa siku mbili ila amna ktu
Ajarbu kutuma usku na kama uko na laptop n vzr zaid kulko simuUnatumia mtandao gaini?
ttcl na vodacomUnatumia mtandao gaini?
Okayttcl na vodacom
Msaada jaman mtu anielekeze kipengele cha kujaza education kama unatumia fan kuomba vip n lazma tena tuadd tena na vyet vya 4m iv na vi?Okay
Ni lazima,kuanzia form 4 mpaka ulipofikiaMsaada jaman mtu anielekeze kipengele cha kujaza education kama unatumia fan kuomba vip n lazma tena tuadd tena na vyet vya 4m iv na vi?
Unatumia link ya ajira2 au ajira?Nmesubili ucku kwa siku mbili ila amna ktu
Mm cjaad mkuu nimeweka Cha fani tuKWa wanaomba kupitia fani n lazima waadd na vyet vya 4m 4 na six kama vipo?
Mimi nilifanikiwa Juzi usiku...Saa 10:30 lakini bado mfumo mbovu, inaonekana kunachangamoto upande wa uploading documents lakini website inafunguka vizuri, kuna yeyote kafanikiwa ku upload?
kwako inasogea mkuu?Msaada jaman mtu anielekeze kipengele cha kujaza education kama unatumia fan kuomba vip n lazma tena tuadd tena na vyet vya 4m iv na vi?
Umetumia link ipi?Weeee nimefanikiwa🤗🤗