Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

Uki apply ajira 2 na kufanikiwa,ukija ku log in ajira.polisi taarifa zako hazitambuliki wanataka u sign up tena..hii imekaaje wakuu😂😂
 
kwahiyo tumekubaliana link ya ajira2 ni link halali ya polisi
Ehee tumekubaliana hivo na polisi wakileta mazingaombwe mwisho wa siku itabidi watuambie vzuri mana watu wameomba Sana ufafanuzi wa hiyo link mamlaka imekaa kimia manaake ni ya kwao wanaijua
 
Dirisha si limeshafungwa tangu usiku wa jana ama????
Nimepewa kazi hiyo na vijana wangu hapa kimbiji naona ntakula hela zao bure na kazi nisiimalize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…