Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

Umebwatuka tu hapa,listen nakuuliza kama point ya msingi pombe ni kitu kizuri au la?
 
Duuh! What a joke, wewe si uliniquote ukisema nyumba za watuamiaji wengi ni mansion na kua watumiaji ni matajiri au sio wewe?
 
Duuh! What a joke, wewe si uliniquote ukisema nyumba za watuamiaji wengi ni mansion na kua watumiaji ni matajiri au sio wewe?
Acha UWONGO WEWE MUONGO WA MWAKA 2023. WEKA HIYO POST NILIYOTAJA MANSION..!! PIA WEKA NILIPOTAJA MATAJIRI..!! MUONGO MKUBWA WEWE..!!!

By the way, ukimzidi mtu kitu wewe ni tajiri.!!???
 
What? Yaani unasema kua mtu hadhuriki kwa kunywa mara moja kwa wiki au mwezi?Ni hivi listen careful, pombe ni hatari na nisumu kwa figo na ini siku zote na mtumiaji awe wa mara moja au mbili kwa wiki au mwezi lazima anajidhuru mwenyewe.Pombe ni sumu huo ndio ukweli ndio mana haipo katika nutritional guide,elewa hivyo.
 
Wewe upo kwenye majuto ya ukiyopitia, pole sana.

Utarecover tu, waache watu waishi maisha yao na ww umechagua yako, unaumia kwa lipi tena?
 
Mzee hata chai ni sumu, soda pia inaharibu hizo parts.
Kunywa maji mengi, matunda nk.

Halafu inategemea unakunywa pombe gani, sio kila pombe ukinywa kiasi unaharibu ini na figo.

Kula vizuri, kunywa maji, kula pombe.

Hata nyama ukila sana ina madhara, usicomplicate maisha kiasi hicho.

Babu yangu kanywa pombe toka udogoni mpaka uzeeni kavuta akiwa na 72 yrs, na yeye alikua anapenda kujaribu kila pombe mpya inayotoka.
 
Hata wanywa soda na energy hawapo salama kama unavyodhani
Tena bora unywe pombe kuliko hizo soda na energy
 
NENO LA MUNGU LINASEMA WAZI MUNYWE MUFURAHI NA WAKE ZENU,

Nyie mnakunywa na malaya halafu mnapata mabalaa mnasingizia pombe.

😂
Unaleta maneno rahisi hapa ili kujipa moyo na ulevi?
Sikia neno la Mungu linavyosema kutoka katika kitabu cha nabii Isaya 5:11-12,Ole wao waamkao asubuhi na mapema,wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao! Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya BWANA wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.
 
Bibi yangu ana miaka 100 plus na alianza pombe toka msichana hadi leo anakunywa, sema saivi anakunywa moja tu tena safari ndio analala
 
Wewe upo kwenye majuto ya ukiyopitia, pole sana.

Utarecover tu, waache watu waishi maisha yao na ww umechagua yako, unaumia kwa lipi tena?
Mpumbavu habadiliki kamwe hata akipewa funzo,ila mjinga hukubali na kubadilika pale anapopewa funzo.
Sasa wewe ndugu chagua mawili kati ya hayo.
 
Sijui ww ni Wakili wa nini? Kama ww zimekuletea madhara ni ww si ww ulikua Teja hacha tunywe pombe maisha ni mashort
 
Sikia wewe kichwa kizito usiyetaka kuukubali ukweli na kusingizia vitu visivyo husika kabisa.Kama umachagua pombe hilo ni jeneza lako na litakulipa kile unachostahili,kumbuka tu, mchuma janga kulia hulia na nduguze, kwani ni uongo?shuhuda ngapi tumeona vifo vya aibu vya ulevi, kisukari,presha pamoja na kufeli kwa ini na figo vikisindikiza hivyo vifo.Sasa wewe endelea tu,kunywa sana pombe za kila aina, kunywa tu ukifikiri tutadhurika na wewe,utalia wewe na familia yako.
 
Sijui ww ni Wakili wa nini? Kama ww zimekuletea madhara ni ww si ww ulikua Teja hacha tunywe pombe maisha ni mashort
Taahira mkubwa wewe,pombe ni nzuri eeh? Sasa sikia nitarudi sana huu msemo, mchuma janga kulia hulia na nduguze.Fakamia kabisa hizo pombe za kila aina mavuno yake utayala mwenyewe.
 
Bibi yangu ana miaka 100 plus na alianza pombe toka msichana hadi leo anakunywa, sema saivi anakunywa moja tu tena safari ndio analala
HUuyo babu yangu ilikua ukimletea story kama hizi za mleta uzi anaweza kukata kofi.
Na yeye kila siku ilikua lazima anywe bia 3(enzi za uzee wake).
 
Punguza jazba, pombe haikupendi mkuu achana nayo wewe na ukoo wako.

Alokwambia wenye matatizo ya figo na ini ni walevi pekee ni nani??

Nshakwambia hata ukinywa chai, soda, vijuice vya kiwandani, bites na makitu mengi ya madukani humo unajiharbu pia.
Acha kuikandia pombe kisa tamaa zako za pombe za bure.
 
Taahira mkubwa wewe,pombe ni nzuri eeh? Sasa sikia nitarudi sana huu msemo, mchuma janga kulia hulia na nduguze.Fakamia kabisa hizo pombe za kila aina mavuno yake utayala mwenyewe.
Taahira Bibi yako kama ulikua unaona sio nzuri uliwezaje kunywa Miaka 3 mfulilizo?
Usitutishe we Mungu?
 
Mwaka wa 20 huu nakunywa pombe,zamani ilikua ni kila siku lazima nile chombo ...kwa sasa nimepunguza nakunywa wkend tu kwa sababu kazi zinanibana.
Maini na Figo viko safi kama mtoto mdogo ..

Hao ndugu zako wanaoumwa kansa ya koo na maini wambie waache kunywa taputapu
 
walevi hovyo sana wanajazana ujinga bar mimi hupenda kwenda bar kupata mchemsho au juice huku nacheki mpira ukiwasikiliza mipango yao ya pesa wakiwa wamelewa na asubui wanavyo kwepana utacheka sana
Haha haha hah we kama wewee hiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…