Kwani ww ni maiti? Husikii wala kuona yanayuendelea kote duniani!?
Unasubiri uletewe ya kusoma na nani kwa faida ya nani!?
Ww nenda kasaini fomu uchanjwe kama unaamini itakulinda...usitupigie mikelele!
 
Yaani wewe upewe ripoti? Mbona hujaulizia ya dawa zote walizonazo hospitali ambazo tunapewa na mabeberu? Achaga ujinga wewe... Wenzio wanasoma miaka 6 chuoni kuelewa hizo ripoti afu wewe unataka uelewe kwa dakika 5. Shenzi

Kama ulikuwa hujui ripoti za utafiti wa kitaaluma huwa zinawekwa mtandaoni.

Kwa hiyo usiwe na akili fupi ukadhani ni vitu vya siri.

Kwa hiyo niliyemuuliza swali alete link tu kwamba ripoti ni hii.

Ila kiufupi hakuna utafiti wowote uliofanyika na hao wanaoitwa "wataalam" wetu.

Ni kwamba wamepewa tu maelekezo na wazungu kwamba habari ni hii.
 
Hizo chanjo hapa zimefanyiwa study na nani kujua madhara ya muda mfupi na muda mrefu? Chanjo zimefika hata hazina mwezi unataka kusema tayari zimefanyiwa study? Again watu sio wajinga, even the uneducated, kuna ujinga mwingi sana tunafanya waafrika..corona haija athiri hata watu elfu 10 nchini then unaweka lengo la kuchanja 60% ya watanzania? Duh.
 
Pamoja na dhamana tuliyowapa lakini leo hii huwezi kuwatofautisha wanasayansi na wanasiasa. Mambo ya wito yamemezwa na maslahi ya mtu,hivyo wanasayansi wengi hasa upande wa udaktari kuna hongo na rushwa za kila namna ili maisha yasogee.

Kitu cha kustua kuhusu chanjo ya corona ni kwa namna gani uvumbuzi wake ulivyopatikana overnight tena toka mataifa yote makubwa kwa wakati mmoja. Uingereza,marekani,urusi,China zote zilipata chanjo ndani ya muda usiopishana sana.

Ukirudi kwa wataalamu wetu wa ndani napo huwezi kutaka nafasi maoni yao kwenye chanjo ya corona kutokana na jinsi tunavyowajua uwezo wao,muda mfupi tulionao tangu kuvumbuliwa hizi chanjo.
 
Sababu ya 5 ni kwamba Lizmoko ndiye wakara mkuu wa manunuzi ya chanjo zote nchini.
 
Study ya kirusi hiki hakikuanza juzi tafiti za mwaka 2019 mripuko ulipoanza kuenea Kwa Kasi so km kulikua na tafiti bhas ni muendelezo tu.
 
Hizi ni baadhi ya aina nyingine za chanjo zinazotengenezwa na makampuni na taasisi mbalimbali pamoja na nchi zitokazo;

1.Sinopharm- China

2.Sputnik V- Russia

3.Covaxin- India

4.Abdala- Cuba

5.QazCovid- Kazakhstan

6.COVIran Barakat- Iran

7.Medigen- Taiwan

Sehemu kubwa ya mapingamizi dhidi ya chanjo ya Covid 19 nchini yanaambatanishwa na sababu inayosisitizwa sana ya kwamba chanjo zinatoka kwa mzungu "wa magharibi" zikiwa na lengo ovu la kutufanya mazombi, kuleta ugumba, kupachika chapa 666 n.k

Ikiwa chanjo zitatoka mataifa mengine tofauti na ya magharibi ambayo huwa tunayaita 'ndugu zetu" kama vile China wapinga chanjo nchini mtakuwa tayari kuchanjwa?
 
Kwani Samia ana study yoyote kafanya au ana utaalamu wowote, vivyo hivyo sioni mantiki ya kumkataza Gwajima kuongea, wajibu tu hoja zake maana Samia yeye ni mtupu kabisa kichwani hata mtu anaweza kumsifia kinafiki akafikiria kweli anasifiwa.
Mambo mengine kwa kweli yanastaajabisha. Hivi Samia si anayo kamati yake ya wataalamu ambao ni madaktari waliofanya hiyo study? Au ulitaka umwone yeye yuko maabara anajaribia chanjo kwa watu?
 
Kweli tupu zombie tu watapinga huu ukweli.
 
JPM alitaka Tanzania tujitegemee wenyewe bila kutegemea Mabeberu ila sasa tumerudi ktk maisha ya utegemezi
 
Nani amefanya study ya chanjo husika? mheshimiwa, nyamaza ila nenda ukachanjwe. Hiyo study imefanyika lini na wapi? hao wazungu wenyewe wanategemea mrejesho wa "data" za utendaji wa hizo chanjo kutoka kwa guinea pigs wa ulimwengu ambao siyo wazungu! Juhudi zinazotumika kuhimiza chanjo zingetumika katika mambo mengine tungekuwa mbali. zingetumika kuondoa mbu wanaoeneza malaria, hivi sasa mbu wangebakia kwenye makumbusho. 😉
 
User name yako inaakisi ulichoandika.
Zombie wanakimbilia conclusion tu,chanjo ni salama.
 
Akili zetu za kiafrika tunazijua wenyewe. ARV zimeongeza urefu wa maisha ya watanzania wengi tu.

Kama kweli mzungu hana nia njema na afya zetu kwanini hizo dawa zisiwauwe wanaozitumia?.

Pepopunda, kifaduro na magonjwa mengi tu yamepotezwa kwa chanjo za wazungu, kwanini zile ziwe salama na hizi za corona ziwe na nia mbaya kwetu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…