#COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?
Watanzania wakielimishwa wanaelewa na utaratibu huu utumike kwenye mambo mengi kwamba ukijikita kutoa elimu juu ya jambo fulani bila kutumia nguvu ni rahisi sana kueleweka na kujiweka mioyoni mwa unaowaelimisha...
Unateseka bure na ulichokua unakiabudu. Kilichopo na cha kweli ni hiki magufuri hawezi kuja kwako.ila wewe unaweza kwenda kwake. Kama ukiamua unaweza kwenda hata leo Ni rahisi tu.
 
Corona ipo na wananchi tunatakiwa kuchukua tahadhari zote ndugu, nakushauri uvue hilo blanketi la ujinga ulilojifunika ili upate ufahamu japo kdg.
Hawa watu waliharibia sana na Mwendazake na hii corona isipopenda madharau ngojea iwabishie hado
 
Watanzania wakielimishwa wanaelewa na utaratibu huu utumike kwenye mambo mengi kwamba ukijikita kutoa elimu juu ya jambo fulani bila kutumia nguvu ni rahisi sana kueleweka na kujiweka mioyoni mwa unaowaelimisha...
Mtoa mada kwanza elewa kuwa Magu hajafa tu bali kaoza tayari,acha kuabudu mifupa! Sio kwamba watz hawatishiki na corona,tatizo hawana uwezo wa kudhibiti na hawana awareness na elimu ya kutosha kuhusu ugonjwa you.
 
Watanzania wakielimishwa wanaelewa na utaratibu huu utumike kwenye mambo mengi kwamba ukijikita kutoa elimu juu ya jambo fulani bila kutumia nguvu ni rahisi sana kueleweka na kujiweka mioyoni mwa unaowaelimisha...
Sie wa CHAMA CHA KAZI IENDELEE tunajipanga kutoa Tamko letu
 
Kweli kabisa kakolona ni kaugonjwa kadogo sana, ila kalituinua kiaina...hii nchi ilikuwa inaenda kupotea🤣🐒🤸
 
Mtoa mada kwanza elewa kuwa Magu hajafa tu bali kaoza tayari,acha kuabudu mifupa! Sio kwamba watz hawatishiki na corona,tatizo hawana uwezo wa kudhibiti na hawana awareness na elimu ya kutosha kuhusu ugonjwa you.
Ndiyo ukweli wenyewe. Ukweli ambayo hataki kuukubali
 
Hii serikali imepuuza njia za asili za kukabiliana na Covid-19 tunahitaji kutumia njia za kisasa na kiasili katika kukabiliana na huu ugonjwa

Kuna dawa nyingi tu za asili za kupambana na viral diseases including upper and lower resipiratory infections disease lakini naona wanakimbilia njia za kisasa tu tunatakiwa tumix zote

Wimbi la kwanza tulifaulu pakubwa maana tulitumia njia zote kukabiliana na Corona lakini sahivi mnakimbilia njia za kisasa huku mkijua vifaa vyenyewe vya kisasa ni vichache tu katika kukabiliana na hii hali

Mfano mdogo tu hospitalini watu wanakufa kwa kukosa mitungi ya oxygen na pia inauzwa ghali na bado matibabu ya covid ni ghali na maisha yenyewe ndo haya wananchi wengi hawatoweza kumudu

Serikali irudi kutumia njia zote mbili za asili na za kisasa bila hivyo tutakwisha aisee

Sahivi mmepuuza nyungu na dawa za asili hamsisitizi tena mnakimbilia njia za kisasa ambazo hata huko ulaya kwenyewe bado hazijaleta tija

Africa toka jadi sisi ni matajiri wa mitishamba na dawa asilia...tungewekeza kwenye tafiti tusingekua tunaagiza madawa nje kwa kiasi kikubwa kama ilivyo sasa hili bara sijui lililaaniwa na nani

Mmepuuza njia za asili za kisasa zenyewe serikali imeshindwa walau hata kwa uchache watu wetu wanaangamia tu
 
KIONGOZI WA KIYAHUDI WA ORTHODOX AONYA:CHANJO ZA CORONA ZITAWAFANYA WATU KUWA MASHOGA
Adai mimba changa zinatengeneza chanjo hizi na kuingizwa mwilini kwa njia za vinasaba (DNA),RNA na seli zinaweza kuleta madhara na maangamizi makubwa kwa mtu na mtu kuwa shoga

Israel's Ultra Orthodox Rabbi Says Covid-19 Vaccine Will Turn People Gay

Israel's Rabbi Daniel Asor.
Israel's rabbi from the ultra-Orthodox sect claimed that the vaccination drive is an evil agenda of the international government and 'criminal organisations'

BUZZ STAFF| NEWS18.COM

In a rather bizarre statement, rabbi (Jewish religious leader) from Israel's ultra-orthodox sect has warned people against taking the coronavirus vaccine saying it might turn people gay.

Rabbi Daniel Asor, who has a large social media following, also asserted that the entire vaccination drive is the work of a "global malicious government," which is "trying to establish a new world order."

In his latest online sermon, the leader said that anything, including the vaccine, which has been made using "an embryonic substrate" can cause "opposite tendencies", reports an Israeli media.

"Any vaccine made using an embryonic substrate, and we have evidence of this, causes opposite tendencies. Vaccines are taken from an embryonic substrate, and they did that here, too, so ... it can cause opposite tendencies," he said hinting at homosexuality.


After establishing a false link between vaccine and homosexuality, Asor went onto assert multiple 'conspiracy theories' surrounding the entire coronavirus pandemic.

He termed the World Health Organisation (WHO) and vaccine-developing giants Pfizer and BioNTech "criminal organisations", who have presented false data about the vaccine's efficacy to the ultra-Orthodox leaders in an attempt to have them on the same page.



According to Isral Hayom, Asor has argued that the virus was released to "cull global population" and the vaccines are just a way to "further this agenda".

Asor's understanding of such baseless theories has gone a notch higher, as he claimed that entire vaccination business is nothing but a "secret and brutal Army" maintained between the US and Israel, that will eventually interfere wit the local law enforcement to 'further global government's' sinful agenda.

However, Asor's statement goes completely against the instructions given by senior rabbis of the sect including Chaim Kanievsky, Gershon Edelstein and Shalom Cohen, who have urged people to take the maximum protection against the global pandemic and that must include taking the vaccine.

Taking a sarcastic jibe at Asor's statement, an LGBTQ+ advocacy group Havruta said that if the vaccine is likely to alter a person's sexual orientation, then they are eagerly "waiting to welcome the impending new members".

Asor's statement comes at a time, when the Haredi community has reportedly witnessed high morbidity cases due to people repeatedly flouting the covid norms.

According to reports, around 17000 Israelies have receieved the second shot of the vaccine, showing no major side effects.

However, this isn't the first time when such a bizarre claim about the vaccine has been made by a global leader.

Earlier, in December, Brazil President Jair Bolsonaro warned Brazilians that if they take the vaccine, they will grow beards or turn into alligators. And then that becomes their problem, no more of the government's.

Composting is another green use of hair, whose rich nitrogen content makes it an ideal fertiliser supplement. Collective member Ryan Crawford, owner of a salon in the town of Milton Keynes, northwest of London, has experimented with hair on his vegetables in the garden.

On a sunny July day, he showed AFP two young cabbage shoots: one, surrounded by hair, is intact; the other, planted without hair, is skeletal and gnawed.

“It’s like a protective barrier around the base of the new seedlings," he said.


“It’s definitely worked keeping things like slugs or snails off," he added, saying that putting hair directly into the soil also helps retain moisture and acts as “a super-food for the earth," replenishing nitrogen levels.

Over the last year, around 600 salons in the UK and Ireland have joined the collective, which has amassed around 500 kilos of hair. It has been used to clean up waterways, an oil spill in Northern Ireland in May and for composting. The collective has also gathered 3.5 tonnes of metal, which is being recycled. It now hopes to export the model on a large scale across Europe.
Read more:-
Iran cleric covid-19 vaccine turns people gayView attachment 1867598
Screenshot_20210725-124907.jpg
 
Huyo kiongozi wa ULTRA OTHORDOX amejuaje?!!

Amefanya TAFITI ?!!

Ameambiwa na MUNGU ?!!!

Hao "wahafidhina" wa DINI wana "conspiracy theories" sana......

#TuchomweChanjo
#ShimeWatanzaniaWenzangu
#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom