Ndio maana chadema wanatazitaka sana chanjo, nimeanza kuelewa.
Sasa hivi utasiki Aunt Lissu, Aunt Lema, Aunt Msigwa, Aunt Heche , Aunt mdude, Aunt gaidi
Chadema tumewastukia
Hawaleweki hao watu walizililia washapiga mpunga wao chanjo zimekuja sasa hivi wataitisha maandamano kuwa hazitaki maana maandamano ndio mtaji wao sera hakuna kabisa[emoji23][emoji23].
 
Gaidi alililia chanjo hadi mishipa ya shingo ikamtoka huwezi amini

Mbabe mwingine aliambiwa apambane na Covid akasema hio ni vita ya kiuchumi.Kilichofuata bendera ya Taifa ilishushwa nusu mlingoti.
 
Na kwa wale ambao ni mashoga tayari miaka nenda rudi walichanjwa hiyo chanjo ya Covid-19 lini? Mtu akitoa maoni yake tu tunachukulia kama breakthrough ya utafiti wa kisayansi, bure kabisa!
 
Ndio maana chadema wanatazitaka sana chanjo, nimeanza kuelewa.
Sasa hivi utasiki Aunt Lissu, Aunt Lema, Aunt Msigwa, Aunt Heche , Aunt mdude, Aunt gaidi
Chadema tumewastukia
Acha kuandika ushenzi, andika logic utaeleweka
 
Ubishi wa nini? Kama wao wanasema chanjo zitawageuza watu kuwa mashoga wanafahamu hivyo, wengine ni kufuata mkumbo tu. Afadhali yule baba aliyesigina hizi chanjo tata waziwazi ataibuka shujaa
 
hahahaa CCM walivyoikimbilia sasa! Kuna kada mmoja humu kaomba wajengewe na kiwanda kabisa!
 
Uzur sichomi nitakuwa nawacheki tu wakuu mnavyodemka[emoji23][emoji23][emoji2957]
 
Sasa dunia nzima ikiwa mashoga nani atawafukunyua mitaro au watengenezaji wa chanjo baadaye watawatengenezea na madrido
 
Hao ni watu wanaotumia akili zao vizuri, huku kwetu kwenye 'YES MAN' tujiandae kupokea kizazi cha mashoga na watu wenye tabia za hovyo hovyo....
 
Hii kitu ni controversial

Maamuzi yoyote yanapaswa kufanywa with caution.

Ndio maana ni muhimu sana kuweka uzalendo mbele Kwa issues kama hizi sio maslahi ya yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…