Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
GWAJIMA-Mwenyekiti SUKUMA GANGTangu Serikali iruhusu chanjo ya Corona kuingizwa nchini mjadala mkali umezuka kati ya wapinga chanjo hiyo na wale wanaoikubali, hali hii ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama majirani zetu Kenya ua Rwanda...
Tangu Serikali iruhusu chanjo ya Corona kuingizwa nchini mjadala mkali umezuka kati ya wapinga chanjo hiyo na wale wanaoikubali, hali hii ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama majirani zetu Kenya ua Rwanda. Mpaka sasa wapinga chanjo(anti vaxxers) wakiongozwa na jemedari wao Askofu Gwajima wanaongoza katika mtanange huu na hakuna anayeleweka kwa wakubali chanjo kuanzia January, Kigwangalla mpaka Mbowe n.k..
Serikali iliyipita ilichngia pakubwa sana kwa hili,Yaani upotoshaji mkubwa ulianzia hukohuko Ikulu.yaani tulianza kuaminishwa kwamba hata mashine za kupima korona hazisemi ukweli, Ila corona ikawa inawatafuna huko huko Ikulu.Kauli zilitoka Ikulu hukohuko,waziri huyuhuyu wa afya pamoja na mtangulizi wake ndiyo alikuwa mashauri mkuu wa mkuu wa nchi.Tangu Serikali iruhusu chanjo ya Corona kuingizwa nchini mjadala mkali umezuka kati ya wapinga chanjo hiyo na wale wanaoikubali, hali hii ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama majirani zetu Kenya ua Rwanda...
Kwani hakuna uthibitisho wa kuwa chanjo zitawafanya watu kuwa mazombi au chanjo kukinga ugonjwa kwa asilimia mia moja, hivyo sioni mantiki ya kumuhukumu Gwajima kuwa ni muongo na hata kama akiwa anawadanganya wenzake, mara ngapi Gwajima kama Gwajima ameshasema mambo ya ajabu?Kama hutaki kuchanjwa kwa nini uwadanganye wenzako watakuwa mazombi wakichanjwa?
Kwani hakuna uthibitisho wa kuwa chanjo zitawafanya watu kuwa mazombi au chanjo kukinga ugonjwa kwa asilimia mia moja, hivyo sioni mantiki ya kumuhukumu Gwajima kuwa ni muongo na hata kama akiwa anawadanganya wenzake...
1.)Hiyo chanjo si hiari? Sasa mnahangaika nini? Kwanini msichanje nyinyi ili muwe salama?Tangu Serikali iruhusu chanjo ya Corona kuingizwa nchini mjadala mkali umezuka kati ya wapinga chanjo hiyo na wale wanaoikubali, hali hii ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama majirani zetu Kenya ua Rwanda...
Kwa definition ya CDC Marekani ambako ndiko zinatoka, ni nini?Chanjo sio wazo na haihitaji hisia kuelewa
Hoja hujibiwa kwa hoja, au huzijui hoja za wanaopinga?Inasikitisha lakini ndio uhalisia tulio nao. Ujinga umetamalaki, tumeruhusu wajinga kuchukua nafasi za juu za maamuzi nchini na wameambukiza jamii kubwa.
Cha ajabu ata walioingia darasani nao bado ni wajinga,ni kama watanzania tumefunikwa na ujinga wa asili,au kwa sababu watz wengi ni washirikina?Tangu Serikali iruhusu chanjo ya Corona kuingizwa nchini mjadala mkali umezuka kati ya wapinga chanjo hiyo na wale wanaoikubali, hali hii ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama majirani zetu Kenya ua Rwanda...
Hoja hujibiwa kwa hoja, kama unaweza kumuita mjinga kwa hoja zake, naamini utaweza pia kujibu hoja zake, zijibuHuu ndio ujinga ninaouzungumzia, kama huu utakaoifanya serikali itenge muda na rasilimali kujibu hoja za watu waliobeba vichwa kama mifuko ya kuhifadhia meno badala ya kufikiri.
Mwandishi hajaeleweka anatupasha habari gani MPYA.
Kikubwa hoja hujibiwa kwa hoja hapo ndipo serikali imekwama.
1.uhakika kama chanjo haina madhara.
2.kuweka chaguo kutopenda kuwajibishwa kama chanjo italeta madhara
3.licha mtu akichanjwa inaonesha ataambukizwa NA achukue tahadhari kama hajachanjwa
4.hawajatafiti
5.wanaenda kujaribu nchi nzima je ikitokea madhara?
Sasa kwanini Nikubali ujinga huu.
Au umeambiwa kenya korona imeisha?
Walokole feki wanatafuta kikiPoor you,ujinga ni kujiona mjanja mbele ya hao unaodhania ni wajinga kwa kuonyesha hisia zao kuhusu wazo ambalo hata wewe si ajabu hujalijua vizuri.
I'm not sorry[emoji57]