Mkuu ulichojifunza darasani ni matusi tu! Naomba nikufundishe.....
Hizo chanjo zingine ulizozitaja hutengenezwa hivi: Virusi wa ugonjwa huchukuliwa na "kupunguzwa" makali yao na hao virusi waliopunguzwa makali uwekwa mwilini mwako kama chanjo, na kwakuwa wamepunguzwa nguvu mwili hupambana nao kirahisi na kujitengenezaea kinga dhidi ya ugonjwa husika! Kwa covid mambo na mbinu ni tofauti....chanjo zile zinaingilia chembe za uhai wa mwili wako yaani mRNA....na kuziamrisha zitengeneze kinga ambayo hadi sasa hawajuhi itadumu muda gani na je chembe chembe za uhai za mwili wako ambazo zimegeuzwa na kuanza kuzalisha kinga zitakomea hapo kwenye covid au zitazalisha kitu kingine,
Hizo chanjo za zamani ukipata chanjo hakuna tena kupata ugonjwa huo (ikitokea ni nadra na inabidi aliyepata ugonjwa baada ya kupata chanjo sampuli ipelekwe kuona ni nini kilienda vibaya) ila kwa covidi tunaambiwa hata kama una chanjo vaa barakoa maana utaambukizwa covid tu japo eti dalili zako za ugonjwa zitakuwa ndogo, hahahahah!
Na mwisho ila sio kwa umuhimu, muda wa kutenegeneza hizi chanjo umekuwa mfupi mnno kiasi cha watu kujiuliza kama majaribio kwa watu yamefanyika au wamepakua tu haraka na ndio maana hata zile mamlaka ambazo hutoa ithibati kuwa sasa chanjo ni salama na inaruhusiwa kutumika bado hawajatoa vibari (vibari vinavyotumika ni vya dharula tu)kwahiyo kila anayechoma anaweka sahihi ya dole gumba kuwa nimekubali kuchomwa chanjo hii bira shuruti na madhara nitakayopata ni mimi mwenyewe na ukoo wangu hivyo hatutaishitaki serikari au mtenegenezaji...ndiyo!
Akili ya Kawaida(common sense): Hivi kwanini anayehoji kuhusu hizi chanjo anakuwa adui wa Ulimwengu? Trump, JPM(R.I.P), facebook, Gwajima na juzi chombo kikubwa cha habari duniani eti kinaandika hivi: kinara wa kupinga chanjo za covidi afa kwa covid-19....sasa mlitaka afe kwa ugonjwa gani, tutaaminije kama hamjamuua!