Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Tunapoelekea itakuwa ni lazima na sio Tena hiari 🤣[emoji3581]View attachment 1871295
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapoelekea itakuwa ni lazima na sio Tena hiari 🤣[emoji3581]View attachment 1871295
Ww zombie ni liability hata kwa waliokutuma!We kima,. una hoja ipi uliyotaja?! Usidhani nasoma hayo mataka taka unayoandika, kwa sababu nilishaona unaandka upumbavu tu! Kama una hoja yoyote ungeandika kwa mstari mmoja au miwili! Kama huna hoja, shut your fvck up?
Ww zombie ni liability hata kwa waliokutuma!
Naona umefungulia matusi ya kizombiezombie byeee😂😜!
Ufunuo 13:16-18
Agano Jipya: Tafsiri ya kusoma kwa urahisi
16 Pia mnyama wa pili aliwaamuru watu wote, wakubwa na wadogo, matajiri na maskini, walio huru au watumwa, wawekewe alama kwenye mikono yao ya kulia au kwenye vipaji vya nyuso zao. 17 Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii.
Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.
18 Kila mwenye uelewa anaweza kujua maana ya namba ya mnyama.
Hili linahitaji hekima.
Namba hii ni namba ya mtu.
Nayo ni 666.
my friend, bado sana kutimia kwa andiko, haya ni maandalizi tu , mpinga kristo hajaibuka personally, ana operate underground na hajaanza leo, kaana miaka mingi sana hasa kwa nchi za ulaya. pia, chukizo la uharibifu halijazimama mahali pake, na mnyama wa baharini hajatimiza vitu vingi ikiwamo kubomoa temple mount (msikini unaogombaniwa kula israel) na kujenga hekalu, haya ni manyunyu tu, ila nyakati ndio zimesogea sana kiukweli.Ufunuo 13:16-18
Agano Jipya: Tafsiri ya kusoma kwa urahisi
16 Pia mnyama wa pili aliwaamuru watu wote, wakubwa na wadogo, matajiri na maskini, walio huru au watumwa, wawekewe alama kwenye mikono yao ya kulia au kwenye vipaji vya nyuso zao. 17 Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii.
Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.
18 Kila mwenye uelewa anaweza kujua maana ya namba ya mnyama.
Hili linahitaji hekima.
Namba hii ni namba ya mtu.
Nayo ni 666.
huyo mnyama anayeongelewa, msifikiri ni mnyama kweli, ni binadamu atazaliwa na mwanamke kabisa ila atakuwa nusu mtu nusu shetani (kwenye genes zake) ni kama mashetani yatazaa na mwanadamu na huyo atakayezaliwa atakuwa uzao wa shetani na takuwa na nguvu zote za shetani, atatawala dunia hii, atakuwa na miujiza ya ajabu kuweza hata kuita moto kushuka toka juu na utashuka, atafanya maajabu ya kila aina kwa miaka 7, na mwisho Yesu Kristo ambaye atakuwa amekaa na watakatifu aliowanyakua huko mbinguni kwa miaka 7, ataashuka na kumponda kichwa na kumtupa jehanam milele pamoja na wale waliomfuata (waliomfuata ndani ya miaka hiyo saba ambayo sasahivi bado haijaanza), yeye atatawala miaka 1000 hapa duniani (yeye Yesu) ataweka utawala wake kabisa na makao yake makuu yatakuwa Yerusalem itakayoshuka toka mbinguni na kuwepo palepale.hii ndio pointi wala sio chanjo...wanapotosha sana maandiko hawa watu mwisho wa siku wanabaki wanashangazwa na kukosa mwelekeo
Duh [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ndo Mana wanaopotosha kuhusu huu ugonjwa wanazimwa ,[emoji41][emoji41][emoji41]
Duh[emoji3064][emoji3064][emoji3064].. Mada imeungwa huku[emoji2815][emoji2815][emoji2815]Wadukuzi waidukue
Hii kitu ni controversial
Maamuzi yoyote yanapaswa kufanywa with caution.
Ndio maana ni muhimu sana kuweka uzalendo mbele Kwa issues kama hizi sio maslahi ya yeyote.
mh huyo niliyemquote ndio yupo sahihihuyo mnyama anayeongelewa, msifikiri ni mnyama kweli, ni binadamu atazaliwa na mwanamke kabisa ila atakuwa nusu mtu nusu shetani (kwenye genes zake) ni kama mashetani yatazaa na mwanadamu na huyo atakayezaliwa atakuwa uzao wa shetani na takuwa na nguvu zote za shetani, atatawala dunia hii, atakuwa na miujiza ya ajabu kuweza hata kuita moto kushuka toka juu na utashuka, atafanya maajabu ya kila aina kwa miaka 7, na mwisho Yesu Kristo ambaye atakuwa amekaa na watakatifu aliowanyakua huko mbinguni kwa miaka 7, ataashuka na kumponda kichwa na kumtupa jehanam milele pamoja na wale waliomfuata (waliomfuata ndani ya miaka hiyo saba ambayo sasahivi bado haijaanza), yeye atatawala miaka 1000 hapa duniani (yeye Yesu) ataweka utawala wake kabisa na makao yake makuu yatakuwa Yerusalem itakayoshuka toka mbinguni na kuwepo palepale.
cha muhimu, ogopeni dhambi kwasababu wale wadhambi Yesu akija atawaacha hawatanyakua, msiogope chanjo, ogopeni dhambi ndiyo itakayowaacha hapa duniani na mpinga kristo.
Biblia imesema namba hiyo watu watapigwa kwenye paji la uso, na mpinga kristo anaoperate openly na kufanya miujiza yake openly, sio kwa kificho. msikimbie kivuli.mh huyo niliyemquote ndio yupo sahihi
kama unafikiri watapigwa kihalisi uko wrong side...Biblia imesema namba hiyo watu watapigwa kwenye paji la uso, na mpinga kristo anaoperate openly na kufanya miujiza yake openly, sio kwa kificho. msikimbie kivuli.
Hivi si wangetuma mtu mwingine🤣Kituko kingine hiki hapa👇!
View attachment 1871294