love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Usinichagulie cha kufanya, opinion zako sio fact za kufuatwa na kila mtu na kukubalika na watu wote.Huo uombaji wa msamaha haupo kiuhalisia.Saa hizi ulipaswa uwe unaangalia wageni waalikwa kule uwanjani wanavyoingia.
Kutokuruhusu kushtakiwa haithibitshi hayo makosa,Unafikiri yatathibitikaje ?
Katiba ya sasa ya Tanzania hairuhusu Rais kushtakiwa mahakamani!
Na uombaji msamaha wako haukubaliki duniani wala mbinguni.Usinichagulie cha kufanya, opinion zako sio fact za kufuatwa na kila mtu na kukubalika na watu wote.
He was going to prolonge their agony nothing more.angepandisha watumishi madaraja yao sasa hivi wangekuwa mbali sana
apumzike salama huko alipo
Kwa iman yangu unakubalika,Na uombaji msamaha wako haukubaliki duniani wala mbinguni.
Magufuli was a good person ever.Magufuli was a good person.
Ni wahuni tu wanpiga kelele lakini that man really lobed this country.
Mara unakubalika.Mara inasadikika.Mara nisome biblia.Msimamo wako ni upi?Kwa iman yangu unakubalika,
btn kati ya Mungu na Magufuli(japo ni kwa kusadikika) nan ameua watu wengi?
Kasome agano la kale na jipya uone Mungu asivyotabirika kama akili zako zinavyodhani.
Sasa wewe mshahara wako laki tano halafu benki una 1B, umezipataje? Lazima wakufungie account ili utoe maelezo.Mungu ni mwema kwa wote waliompenda na wasiompenda .ila Mungu alimpenda zaidi na alisikia maombi ya wengi ndio maana hayupo.Nchi imekuwa shwari,tuna amani mioyoni mwetu ,watu waliishi kama wako Ukraine why,watanzani walio wengi hawakujua wafanyeje wale waliokua na roho ya "nacist "walishangilia wenzao kufungiwa account, kunyanganywa hela kwa nguvu ,kupotea kwenye mazingira ya kutatanusha na pia kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi.Tuanatoa pole kwa familia Mama Janet na Watoto Mungu awape nguvu ila mmepumua sasa hata umenenepa mama yetu ingawa kuondokewa na Mume sio jambo jepesi
Mtu mwema haihitaji kupanda juu ya paa na kuushika wema wake huku unapiga mayowe..."njoo muuone wema wa mtu huyu"...!Wema huongea wenyewe.Usijichoshe.Magufuli was a good person ever.
msimamo wangu ni usinichagulie cha kufanya huna credebility hiyo nimechagua kumtetea marehemu ni chaguo langu.Mara unakubalika.Mara inasadikika.Mara nisome biblia.Msimamo wako ni upi?Muache marehemu ajitetee mwenyewe kwa matendo yake.
Yule msamalia aliend kutangaza wema wa Yesu na wote walioguswa na Yesu walienda kutangaza wema wake.Mtu mwema haihitaji kupanda juu ya paa na kuushika wema wake huku unapiga mayowe..."njoo muuone wema wa mtu huyu"...!Wema huongea wenyewe.Usijichoshe.
Dhahania kama hizi ndio tunaziombea msamaha hakuna ushahidi wowote juu ya madai yako.Angetubu mbele za familia alizozitenganisha na wapendwa wake kwanza.
Pangilia hoja ueleweke.Usikimbilie tu kueleza usipangiwe.Usipangiwe?Basi ungekaa pangoni kwako na mawazo yako.msimamo wangu ni usinichagulie cha kufanya huna credebility hiyo nimechagua kumtetea marehemu ni chaguo langu.
hakuwa mstahamilivu wa kusikiliza mapungufu yake.Magufuli was a good person.
Ni wahuni tu wanpiga kelele lakini that man really lobed this country.
Acha kueleza jambo kama unaongea peke yako barabarani.Yule msamaria,yupi?Toa rejeo lako.Yule msamalia aliend kutangaza wema wa Yesu na wote walioguswa na Yesu walienda kutangaza wema wake.
We are in different boats usilazimshe tufanane.
Umelazimishwa kuelewa nilichoandika.Pangilia hoja ueleweke.Usikimbilie tu kueleza usipangiwe.Usipangiwe?Basi ungekaa pangoni kwako na mawazo yako.