Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Nimezungumzia ukaguzi...sijui umejibu nini .
Halafu inashangaza kumbe alikuwa anaponda kitu ambacho hata hajakiona kwa macho..mambo ya kishamba sana kuwahi kutokea.
Chato inajengwa iwe kama Ulaya Wasukuma wangapi wa hapo wamefika Ulaya wakapenda na kutamani kuiga? Kuona kwa macho ndo Habari ya mjini!
 
Naomba katika ziara hiyo aende hadi nyumbani pale kijijini kabisa kwa Mzee. Awatembelee na ndugu zake wawili watatu waone kwamba zile risasi za ndugu yao hazikufua dafu mbele ya Mungu aliye hai.
 
Mpumbavu huangalia upana wa nyayo zake, mwenyehekima hupanga mirathi ya wana wajukuu zake.

Lisu yuko juu mno ya upeo wenu unaoishia kwenye wali maharage, khanga na kofia!.
Yupo juu ya upeo wenu wanachadema...nadhani mnamuona msomi na mwenye akili kuliko wote miomgoni mwenu. October 28 itathibitisha...
 
Aliyekwambia shida kubwa ya wananchi Wa Chato ni uwanja wa ndege nani? Uwanja wa ndege anauhitaji zaidi Magufuli mwenye uwezo wa kupanda ndege bure, wakazi wa Chato wanahtaji maji safi, huduma bora za afya, usafiri wenye gharama rafiki nk. Sasa hii Gbadolite International Airport inawasaidia nini watu wasio na uwezo hata wa Milo 3 ya uhakika kwa siku?
Umewahi kusikia Lissu akichallenge ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Chato?
Yaani mwanao hana viatu vya kuvaa kwenda shule, ghafla unamnunulia baiskeli ya kuchezea?
 
Chato nzima Imesimama wana Chato wameamua kuthibitisha kuwa Nabii hakubaliki kwenye nchi yake.

Watu wamekesha Barabarani kumsubiri Liasu wafanyakazi wameahidi kutoenda kazini, wafanyabiashara hawafungui Maduka ,Hakika saa ya ukombozi ni sasa.
majungu
 
Chato inajengwa iwe kama Ulaya Wasukuma wangapi wa hapo wamefika Ulaya wakapenda na kutamani kuiga? Kuona kwa macho ndo Habari ya mjini!
Haya aende akajionee..
Nikukumbushe tu kuwa uwanja wa ndege wa chato si kwaajili ya wanachato pekee. Labda ulitaka watalii wafikej vipi mbuga ya Burigi? Ndege sio kwa kila mtu..tunaopanda mabasi ya kuungaunga tutaendelea kuwepo. Wenye uwezo wa kupanda ndege watapanda.
Geita ni mkoa mkubwa kibiashara lazima maendeleo yapelekwe
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Mmeanza ukabila eti? Kwa hiyo na sisi huku Singida tuchague mwana Singida mwenzetu?
 
Na kule manyara pia
Yuko busy na kanda ya ziwa! Watamshangaza tarehe 28 Oct!! Hahaaaa!! Hawajui wazee wa kanda ya ziwa! Akamuulize Mzee Lowasa! Hii ni mara ya tatu anarudi kanda ya ziwa! Muulizeni amesahau nini? Hajiamini?? Hahaahaaa!!
Queen Esther
 
Yuko busy na kanda ya ziwa! Watamshangaza tarehe 28 Oct!! Hahaaaa!! Hawajui wazee wa kanda ya ziwa! Akamuulize Mzee Lowasa! Hii ni mara ya tatu anarudi kanda ya ziwa! Muulizeni amesahau nini? Hajiamini?? Hahaahaaa!!
Queen Esther
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…