Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia.

Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote kutokana na Ujenzi wake.

Tundu Lissu amepata uungwaji mkono mkubwa kutoka Makundi yote ya Jamii hususan Wafanyakazi ambao wanalaani kupitishwa kwa sheria Haramu ya kupora Mafao yao. CCM na serikali yake walipitisha sheria ya kuzuia Mafao ya Wafanyakazi hata Kama ameacha kazi akiwa na miaka 30 haruhusiwi kupewa haki yake ya mafao mpaka afikishe miaka 60.Sheria hii Haramu imelaaniwa na kila mfanyakazi na Tundu Lissu ameapa kuifutilia mbali Mara tu baada ya kuapishwa.

Ingawa Chato ni nyumbani kwa mgombea Urais wa CCM Lakini kwa muda mrefu CHADEMA imekuwa na uungwaji mkono mkubwa na inao wafuasi wa kutosha.Mmoja wa makamanda mashuhuri wanaotokea Chato ni mwanamama Husna Amri ambaye anajulikana nchi nzima kwa ujasiri wake.

Tunatarajia kuwaletea kila kitakachojiri katika mapokezi na Mkutano wa Kampeni hapa Chato.
Unafurahisha kweli ww
 
Leo mwanachato watuambie je Chato international airport imewanufaisha vipi?

Je tangu 2017 mwanachato gani ameutumia huo uwanja?@barafu alipiga kelele sana kuhusu huu uwanja tangu 2016.

Usije baadae ukageuka ni malisho ya mifugo.

Watumbie je taa za barabarani zimewaletea vip maendeleo au zimekuwa kama sehemu ya kuongozea maguta ya punda?
Mi tu najiuliza chato ni nchi gani?
 
Kuna watu sijawahi ona, uwanja wa Chato uwanja wa Chato, hivi Chato ni wananchi wa wapi? Wao hawana haki ya kuwa na uwanja? Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki?

Mnatukana kila siku Chato utafikiri wao hawatakiwi kuwa na uwanja. Kwa taarifa yenu wananchi wa Chato si wajinga, muulizeni mgombea wenu alichokipata Buselesele na Katoro hadi akasitisha kwenda Chato, haya yote ni siasa mbovu isiyo na staha, hata kama unachallenge tumia lugha rafiki, don't be so biased to that extent, watu wa Chato amewatukana sana, Buselesele na Katoro yalikuwa maeneo ya upinzani lakini kutokana na dharau za Lissu matokeo yake CHADEMA leo inazomewa, Lissu asingezomewa Buselesele kwa namna ile, Awe na akiba ya maneno kwani anaowatukana wanasikia .

Inashangaza sana unatukana halafu bado eti unaenda kuwaomba kura,,,,, unatukana barabara kujengwa huku unazitumia, unatukana ndege huku unazipanda huo ni U CHICHIDODO.

Hopeless kabisa , let's stay tuned leo.
Umeongea kwa kupanic Sana,haya Mambo hayahitaji hasira mkuu....ukiona umebanwa angle zote tulia,agiza Pepsi bariid ,inywe taratibu huku ukitafakari...UTOKE VIPI,MAANA KUANZIA NOVEMBER RAISI WETU NI YEYE.....POLE SANA MKUU

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Maandishi yako na kutokuwa makini katika silabi na ilabi ni kweli huna hizo akili anazodhani unazo.

Jamaa yuko sahihi
Garbage l care a lot on content not formatting stuffs najua debuggers kamanyie mupo to do my work.
 
Lissu alizomewa wapi? Mbona mie niliona kwa page ya Musiba tena watu 10 alafu wote wana mabango ya muandishi mmoja.

Geita alifika na pote alifanya mikutano mikubwa na ilijaza. Najua hamkutegemea na mliumia sana ila ndio hivo jamaa hazuiliki kwa sasa
Leo anawapelekea kimbunga Cha kokoto huko mnakoita kwenu.
 
Kuna watu sijawahi ona, uwanja wa Chato uwanja wa Chato, hivi Chato ni wananchi wa wapi? Wao hawana haki ya kuwa na uwanja? Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki?

Mnatukana kila siku Chato utafikiri wao hawatakiwi kuwa na uwanja. Kwa taarifa yenu wananchi wa Chato si wajinga, muulizeni mgombea wenu alichokipata Buselesele na Katoro hadi akasitisha kwenda Chato, haya yote ni siasa mbovu isiyo na staha, hata kama unachallenge tumia lugha rafiki, don't be so biased to that extent, watu wa Chato amewatukana sana, Buselesele na Katoro yalikuwa maeneo ya upinzani lakini kutokana na dharau za Lissu matokeo yake CHADEMA leo inazomewa, Lissu asingezomewa Buselesele kwa namna ile, Awe na akiba ya maneno kwani anaowatukana wanasikia .

Inashangaza sana unatukana halafu bado eti unaenda kuwaomba kura,,,,, unatukana barabara kujengwa huku unazitumia, unatukana ndege huku unazipanda huo ni U CHICHIDODO.

Hopeless kabisa , let's stay tuned leo.
Wewe ndio mpumbavu, watu wa Chato wanataka maji safi, zahanati zenye vifaa tiba, madawati na vitabu mashuleni lakini sio uwanja wa mabilioni kwa ajili ya kumleta Museveni na Odinga Mara moja moja kwa mwaka na sasa hawatakuja tena
 
Kuna tetesi kuwa Polisiccm wanawatishia watu wasiende kwenye mkutano huo maana Duniani kote wanautizama kama live mechi ya Liverpool vs man u au Barcelona vs Real Madrid
Mkuu chadema hawatakuwa live YouTube.
Maana nao chama kiko nyuma kitechnolojia utadhani chama cha maporini
 
Ingekuwa kujaza watu ndo kushinda ni dhahiri Lowasa angakuwa Rais, Mrema angakuwa Rais, Lipumba enzi za ngunguli angekuwa Rais. Tukutane kwenye ballot box tuna hasira na uchungu wa nchi hii. 5 tena.
Ndugu yangu achana na historia, safari hii mambo ya kukimbia na mabox ya kura au kura za kuchonga hayapo tena.
Safari hii kuna watu kama sio kufungwa muda mrefu basi watanyongwa!
 
We need a levelled ground for everybody.Ni haki yake kuuona huo uwanja pia kufanya tathmini ya value for money ila tunahitaji OCD atoe ushirikiano mzuri ili mambo yaemde vzr.siasa si ugonvi na hatutaki nguvu zaidi zitumike ktk kampeni hizo.
 
Maccm baada ya kumtandika tundu lissu mvua ya risasi hawakutegemea kama atapona, sasa wanahaha kuuzima moto wa Lissu aliyenusurika ni mipango miovu ya maccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu sijawahi ona, uwanja wa Chato uwanja wa Chato, hivi Chato ni wananchi wa wapi? Wao hawana haki ya kuwa na uwanja? Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki?

Mnatukana kila siku Chato utafikiri wao hawatakiwi kuwa na uwanja. Kwa taarifa yenu wananchi wa Chato si wajinga, muulizeni mgombea wenu alichokipata Buselesele na Katoro hadi akasitisha kwenda Chato, haya yote ni siasa mbovu isiyo na staha, hata kama unachallenge tumia lugha rafiki, don't be so biased to that extent, watu wa Chato amewatukana sana, Buselesele na Katoro yalikuwa maeneo ya upinzani lakini kutokana na dharau za Lissu matokeo yake CHADEMA leo inazomewa, Lissu asingezomewa Buselesele kwa namna ile, Awe na akiba ya maneno kwani anaowatukana wanasikia .

Inashangaza sana unatukana halafu bado eti unaenda kuwaomba kura,,,,, unatukana barabara kujengwa huku unazitumia, unatukana ndege huku unazipanda huo ni U CHICHIDODO.

Hopeless kabisa , let's stay tuned leo.
Wewe ndiyo hopeless mbumbumbu juha wa mwisho kwa Akili zako za kutumwa na cyprian Musiba na polepole unajiona umeandika point? Wakazi wa chato siyo wajinga ndiyo na wao wanataka maendeleo lakini yafuate Sheria taratibu zote siyo kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge alafu utake chadema wakae kimya, Mbona nyerere mwinyi mkapa kikwete hawakujenga Airport vijijini kwao?chadema anaomba kura ndiyo kwa sababu anajua chato kuna wafanyabiashara wametaabika watumishi wa umma wameteseka wananchi wa kawaida wameumia zipo kero nyingi sana pengine kupita sehemu zingine Tanzania, chato kwanza siyo kwao mtukufu magufuli , yeye ni mhamiaji tokea Burundi ndiyo maana wasukuma Olijino na wahaya Olijino na makabila mengine yaliyopo chato hayamkubali mtukufu magufuli hata chembe.
 
Danganya wapumbavu. Tanzania ya Leo siyo ya Jana. Mwanangu ni mfanyakazi hajaongezewa mshahara miaka 5 na pia mmeamua kuiba Mafao yake unataka tusitafute mtu atakayerudisha heshima ya mfanyakazi?
Huo ni ubinafsi,unazungumzia mtoto wako kuongezewa mshara?

- Akati kuna watu wanahitaji madawa.

-Kuna watu wanahitaji barabara ili wasafirishe mazao kirahisi.

-Kuna akina mama huko wanahitaji huduma za maji zizidi kusogea kupunguza zoezi la kuchota maji kilometa zaidi ya tatu tena kwa kuamka mida mibaya huku akiwa na wasiwasi wa kukutana na vibaka.Haya maisha nazani huyafahamu.

-Mwanao anakazi(kaajiriwa) shukuru Mungu kwa hilo, kuna akina sisi huku tumejiari tuseme nini?

-Wapo wanaohitaji umeme vijijini kupunguza matumizi ya diesel kwenye mashine za kukoboa na kusaga,pia kuokoa muda wa kufata mafuta kila yanapoisha.Ila ukiwa na umeme we unacheza na mpesa tu luku inajileta chapu haraka.

-Acha izo mambo , tulizike kwa kugawana tutafika tu.
 
Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Anatembelea kujua uhalisia wa kinachosemwa.unapondwa kwa kuwa huenda kaona hauna manufaa so kuuona kwake huenda akasema kumbe una manufaa.be versatile bro
 
Back
Top Bottom