Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Wewe una upumbavu wa asili kabisa.
Mboana mgombea wenu anatukana wanawake kila aendako?

Mbona kazomewa kagera, alienda kufanyanini?

Kauli za kibabe na vitisho,mfn msiponichagua sileti maji je hii ni akili,je huu ni ustaarabu?

Unajitoa ufahamu au ndivyo ulivyozaliwa?
 
Sasa nimeamini magu ni mgonjwa na madaktari wamemshauri apate muda mwingi kupumzika.
Ratiba inaonyesha kuanzia kesho mpaka tarehe 17/10 atakuwa hayupo kwenye ratiba ya kampeni
 
Ivi kutoa matusi adi yanguoni ndio kuonyesha uzalendo wachama eee?Tusio kuwa navyama tunafanyaje ili nasisi tumchague kiongozi?;Kuwaeni makini namatusi yenu Sheria haitazami wewe ni CCM au CHADEMA
 
Sasa kama yeye anatumia LUGHA za kuudhi kwenye ulingo wa kisiasa, kwa nini na sisi wana ccm tusitumie LUGHA za kumuudhi na yeye? Au hizo LUGHA hatuna?
 
Kwani anayosema kumhusu,huyo mwenzake Kuna ugumu gani kuyajibu kwa hoja.Ama kwenu hamjui siasa sii uadui,aliyekosea aambiwe ili Mambo yawebora huko tuendako,na waliga Kura waamue kulingana na elimu waliyopewa na waomba kura.Ama wewe unaonaje?
 
Ndugu yangu sikifichi katika watu wajanja Tundu Lisu ni mmoja wao. Watu wanashupaza shingo kuongea ugoro ugoro akati mjanja Tundu Lisu anafanya utalii wa ndani.
 
Kamera zote za dunia tangu jana zipo chato. Tunajua wamepanga kufanya nini na sie tupo tayari kukusanya ushahidi na kupeleka kunakohusika
 
Ndugu yangu sikifichi katika watu wajanja Tundu Lisu ni mmoja wao. Watu wanashupaza shingo kuongea ugoro ugoro akati mjanja Tundu Lisu anafanya utalii wa ndani.
Kweli utalii wa kwny coaster ni bora sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…