Kampeni manager pigeni spana za kutosha ili kuibomoa CCM, kwenye hili la fao la kujitoa na kikokotoo hapa ni wizi mtupu wanaoibiwa wafanyakazi baad ya ccm kuifilisi mifuko ya Jamii kwa kula na kunywa michango ya wafanyakazi.
Hili linagusa makundi yote kwenye jamii. Atubaliani na kusubiria ufike miaka 60 ndo upewe chako tena bila riba, michango tu ilitakiwa upewe na riba maana wanazungushia pesa zetu, pia kuhusu kikokotoo hichi kinakwenda waumiza kabisa wafanyakazi iweje ustaafu miak 60 na usipewe chako chote bali unapewa kwa mafungu.