Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Kwani umejengwa kwa kodi za baba yake.Sisi tukamuliwe Kodi then uwekeze pasipo tija ni sawa hii
 
Ni taahira tu anayeweza kukubali kuwa Lissu atakuwa Rais wa TZ eti na kufuta sheria iliyopitishwa na Bunge wakati hata wabunge kumi saccos ya CHADEMA haitapata. Sasa sijui atafutaje wakati hana wabunge kwenye Bunge la kutunga sheria!! Yaani wakati mwingine najiuliza hivi ukiwa mwana saccos akili zinakuwa matope au?!!!
 
Serengeti mbuga kubwa yenye maajabu haina uwanja wa kimataifa licha ya kupokea watalii duniani kote. Serengeti ina ka-airstrip kavumbi iweje chattle pawe na uwanja wa kimataifa wakati hakuna watalii kabisa? Huu ni ufisadi mkubwa!
Uwanja wa Chato unatumika/utatumika kwa emergency zitakazotokea katika uwanja wa Mwanza kwa kupokea ndege zilizotakiwa kutua uwanja wa Mwanza.
 
Nabii hakubaliki kwao.
Ntashangaa kama ikilazimishwa sili ionekane Lissu hapendwi chato.
Kama Yesu mnazareti alitolewa mbio kwao iweje chato na jpm!!!!
Kwanza chato siyo kwao kiuhalisia yeye ni raia wa Burundi, pili chato kuna changamoto nyingi kuna kero nyingi mno na kero kubwa ni unyanyasaji uonevu mkubwa toka kwa Polisi
 
Exactly, hawawezi kumruhusu walivyo mashetani wakubwa. Lissu anashinda mapema asubuhi, shida ni kumtangaza! Tunafanyaje?
Eti anashinda asubuhi mapema! Ni taahira tu anaweza fikiria hivyo!
 
Uwanja wa Chato unatumika/utatumika kwa emergency zitakazotokea katika uwanja wa Mwanza kwa kupokea ndege zilizotakiwa kutua uwanja wa Mwanza.
Huo uwanja ulijengwa kwa Sheria ipi? Tenda ilitangazwa wapi lini? Bunge gani liliidhinisha ujenzi wake?
 
Eti anashinda asubuhi mapema! Ni taahira tu anaweza fikiria hivyo!
CCM bila Polisi bila Tume bila mahakama bila wakurugenzi bila Msajili bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana.
 
Blah Blah...Matusi ya Nini Sasa? Mbona huelezei pia sheria Haramu ya mafao ya Wafanyakazi? Nayo mmesingiziwa? Mmekosa Hoja kabisa
Tena wakati mwingine hata sii Sheria zinatumika kudhulumu watu,zipo kanuni ,yapo matamko ya kisiasa na zipo zile Sheria za kutungwa kwa hati za dharura.
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Nadhani wengi wetu tuliingia kwenye siasa bila kuwa na ufahamu sahihi - jmn dunia nzima ushindi wa kisiasa hutanguliwa na:-
- mbinu bora,
- mkakati imara, na
- uwezo

Sasa CDM and comp iwapo mkikosa kujua hili mtasumbuka sana - why ninyi mkose mbinu, mkakati na uwezo wa kuziia hao uwaitao maagent wa CCM - sisi kama chama hitaji letu ni ushindi, sasa tumeupataje inategemea na jinsi mlivyolegea
 
Uwanja wa Chato unatumika/utatumika kwa emergency zitakazotokea katika uwanja wa Mwanza kwa kupokea ndege zilizotakiwa kutua uwanja wa Mwanza.
Na ile hosp. Kubwa ya rufaa kwa kanda nzima ya ziwa inayoenda kujengwa hapo Chato itatumika kama emergency Bugando hosp. ikizidiwa au?
 
Sasa Magufuli ni mtu kabila gani kama sio msukuma ?
Ila ndani ya Ccm inaonekana hata raia wa Angola anaweza akapewa uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtukufu magufuli ni raia toka Burundi na katibu mkuu Bashiru ni raia toka Rwanda na mzee Mangula Asili yake ni Malawi kwa kifupi CCM inaongozwa na wageni wenye Asili za nchi jirani
 
Umeongea kwa kupanic Sana,haya Mambo hayahitaji hasira mkuu....ukiona umebanwa angle zote tulia,agiza Pepsi bariid ,inywe taratibu huku ukitafakari...UTOKE VIPI,MAANA KUANZIA NOVEMBER RAIS WETU NI YEYE.....POLE SANA MKUU

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu mna maneno sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom