Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Dar hiii ya mafuriko leo?au Dar ya kwenu?
 
Kuelewa kilichomvuta lissu aende tena chato mpaka uwe unayaelewa mambo ya ulimwengu wa roho na pia uwe na uwezo wa kuona na kutafasiri.
There must be a spiritual inspiration pushed and pulled mr tundu to go once again to his political enemy ground.
You have a very good point .. kuna suala la kiroho hapa. Halafu hili suala la Lissu kupokelewa vizuri nyumbani kwa Mshua ni harassment moja kubwa sana. Imemvunja nguvu sana Magufuli. Imemvunja sanaaaa
 
Wewe uko katavi mambo ya dar tuachie wenyewe huijui dar
 
Mkuu, Jamaa kachoka... Muangalie vizuri na msikilize vizuri.
 
Vile mnavo hangaika kukichafua chuma .afu chuma hakina habari wala mashakaa wala nini
Kina subiri kuingia Ikulu tuu kwa mara ya pili
 
Ingekuwa kujaza watu ndo kushinda ni dhahiri Lowasa angakuwa Rais, Mrema angakuwa Rais, Lipumba enzi za ngunguli angekuwa Rais. Tukutane kwenye ballot box tuna hasira na uchungu wa nchi hii. 5 tena.
Walikua hawaja zaliwa ndo mana
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
UCHAGUZI WA MWAKA HUU NI HESABU KALI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…