Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Ndio maana nimekuambia fikra zako hazina mashiko wala maana.
Siasa ni ushawishi, na ushawishi unakuja kwa watu kukuona na kukusikia. Kampeni ndio njia mahususi ya kushawishi watu. Ngome ya mpinzani wako ndio fursa muhimu ya kwenda kushawishi ili uungwe mkono.

Kuhusu hisia za kufanyiwa fujo kisa umeenda kwenye ngome ya mpinzani wako, hilo nalo halina mashiko. Tuko kwenye siasa za demokrasia ya vyama vingi, msingi wake ni Uvumilivu. Hakuna sababu za kuogopa kisa hisia za kijinga. Tusizipe nafasi hizo hisia.
 
How pathetic!! Lissu hata asilimia 3% ya kura hapati, mark my words, na uzil huu ubakie tukutane baada ya tr 28 oct
 
Uwanja sio wa wana Chato pekee hata uwanja wa DSM unatumika na mtanzania yoyote na wengine kutoka nje ya nchi
Nakwambia leo Chato lazima tumpopoe na mawe tunamsubiri kwa hamu.

Kama kweli anajiamini akatize Chato aone!

Ni saa 11:45 jioni, jamaa anapiga mkutano na wana Chato wana bashasha ile mbaya kumuona Rais wao wa kweli.

Mawe yako hayo ukapopoe mama na baba yako mjinga wewe..
 
Japo Kuna ushabiki mwingi kila mtu akivutia kwake Ila kwa vyama vyote kwenda kufanya kampeni chato ni muhimu Sana maana tunahitaji Kiongozi wa wote na siyo Kiongozi wa ng'ome yake Kama chifu na kama kuna mtu anazuia wagombea wasiende kufanya kampeni kwao huyo hatufai hata mtu asiyekaribisha wageni kwakwe huwa tunamchukulia amejitenga sasa kwanini tuone vibaya kufanya kampeni sehemu zetu wakati tunahubiri umoja na hiki kipindi ukitembelewa na wageni kuna faida kwa wafanya biashara na shughuli zingine zinabamba pia sisi wasukuma niwakarimu sana, karibuni sana mtutembelee Mwanza na Geita.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
Tukiwaeleza Lissu ana tatizo la uelewa, wafuasi wake hawana la kusikiliza. Tatizo la Lissu anafahamu ana mashabiki na hafanyi uchambuzi wa yale anayopanga kuyafanya kwa kuamini kila anachofanya wafuasi wanaitikia kwamba ni sawa. Hana washauri mjuaji ni yeye.
 
Watu wanakuwa wengi kwa Magufuli kwa sababu huwa wamekusanywa kwa nguvu zote. Upinzani una nguvu kubwa Tanzania. Kwa miaka 5 CCM imefanya siasa peke yake na kujiaminisha kuwa 2020 upinzani utakuwa umekufa. Kinyume chake CCM inataabishwa.
We uliwahi kukusanywa kwa nguvu??
 
How pathetic!! Lissu hata asilimia 3% ya kura hapati, mark my words, na uzil huu ubakie tukutane baada ya tr 28 oct

Mbona unajitoa ufahamu bado mchana kweupe Tumia logic wanaochuana ni wat wa 2 tu halafu akose 3% kweli vingine angalieni bhna 3% ya kura 29milion ni 870k kweli atakosa kura laki 870 au unaongea tu na ww uonekane umechangia
 
Nani kakuambia Magufuli ni msukuma au kwa kuwa anaongea Broken Kisukuma ndio unafikiri ni msukuma. Unajua kwa nini hata kabila lake hataki lijulikane.
Magufuli sio msukuma ila najua ni kitanda hakizai haramu...Babake huyo ndo mzinza mzila kende (wanajua kikara na kijita ) sio wazinza pure.
 
Lissu mbona anazunguka na watu wale wale angalia video zake, wanatangulia na mabasi siku 1 kabla, mnadhani hatujui
 
Tusidanganyane! Amepata wasikilizaji kama kawaida lakini huu siyo umati.
 
You have a very good point .. kuna suala la kiroho hapa. Halafu hili suala la Lissu kupokelewa vizuri nyumbani kwa Mshua ni harassment moja kubwa sana. Imemvunja nguvu sana Magufuli. Imemvunja sanaaaa
Ofkoz n hivyo,but lazima ajue ulimwengu wa roho una pande mbili,wa nuruni na gizani,itategemea ni upande upi umesababisha achukue hatua hiyo
 
Mbona unajitoa ufahamu bado mchana kweupe Tumia logic wanaochuana ni wat wa 2 tu halafu akose 3% kweli vingine angalieni bhna 3% ya kura 29milion ni 870k kweli atakosa kura laki 870 au unaongea tu na ww uonekane umechangia
Unalijua hilo wazi unajitia wazimu tu kama mgombea wenu anajua hapati we nani?
 
Wewe ni mjinga kwahiyo alichofanya nisawa kutumia kodi zetu kujenga uwanja kwao
Ndugu zangu mutaishia kutukanana bila hata sababu na sifa zingine munazitoa bila hata kumbukumbu. Wote wako hivyo sana. Lissu aliingiza dada yake Bunge la katiba kwa ajili ya pesa tu na sasa hasikiki tena! Niambie akiwa rais atafanya nini? Wote wana ubinafsi uliokithiri, ingawa kwa sasa Lissu anajidai ni mwema saana! Wapi! He is stupid like any other stupid person.
 

Umekalia moto utakuunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…