Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mpaka Nduli akimbie...mmmamayee mkolanga enzagama LISSU yelebhatandolaRunzewe haipo chato, ipo bukombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Nduli akimbie...mmmamayee mkolanga enzagama LISSU yelebhatandolaRunzewe haipo chato, ipo bukombe
Ndio maana nimekuambia fikra zako hazina mashiko wala maana.Wapi nimeandika asiende Chato?
Nilichoandika ni busara ya kuamua kwenda kwenye strong hold za mshindani wako.
Unapofanya campaign ili kutumia resources zako vizuri ni muhimu pia kuelekeza nguvu katika maeneo utakayopata support.
Lissu awezi pata kura za kutosha Chato wala mgombea ubunge wa CDM awezi shinda Chato. Sasa kwanini uende sehemu kama hiyo kitu ambacho utavuna sanasana ni ku provoke wapiga kura na kuwawekea risk local CDM cadres kwa siasa zetu za kiafrica.
Tatizo lenu mnashabikia kila upuuzi wa huyu mtu, mbona awawekezi resources kwenye siasa Zanzibar umejiuliza kwanini?
How pathetic!! Lissu hata asilimia 3% ya kura hapati, mark my words, na uzil huu ubakie tukutane baada ya tr 28 octLissu anaungwa mkono na watu wengi mmo. Wanafika kwenye mikutano yake kwa wingi kwa tutashinda wao wenyewe.
Wewe ndiye unayedhani una akili kuliko hao watu?
Hivi huko Lumumba huwa mnachokonolewa nini kutokuwa na akili vichwani mwenu kiasi hiki?
Ni njaa ya buku 7 peke yake kweli hii?
Incredible!
We usinipe tabu, ingia google andik "Lissu on bbc hard talk" kisha rudi haraka unipe shkamoo yanguWeka hapa clip aliyosema maneno hayo na nakuhakikishia kila nitakalo andika hapa JF nitatanguliza na neno " shikamoo Umslopagazi "
Uwanja sio wa wana Chato pekee hata uwanja wa DSM unatumika na mtanzania yoyote na wengine kutoka nje ya nchi
Nakwambia leo Chato lazima tumpopoe na mawe tunamsubiri kwa hamu.
Kama kweli anajiamini akatize Chato aone!
Tukiwaeleza Lissu ana tatizo la uelewa, wafuasi wake hawana la kusikiliza. Tatizo la Lissu anafahamu ana mashabiki na hafanyi uchambuzi wa yale anayopanga kuyafanya kwa kuamini kila anachofanya wafuasi wanaitikia kwamba ni sawa. Hana washauri mjuaji ni yeye.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
We uliwahi kukusanywa kwa nguvu??Watu wanakuwa wengi kwa Magufuli kwa sababu huwa wamekusanywa kwa nguvu zote. Upinzani una nguvu kubwa Tanzania. Kwa miaka 5 CCM imefanya siasa peke yake na kujiaminisha kuwa 2020 upinzani utakuwa umekufa. Kinyume chake CCM inataabishwa.
Labda Chato ya UbeligijiNi saa 11:45 jioni, jamaa anapiga mkutano na wana Chato wana bashasha ile mbaya kumuona Rais wao wa kweli.
Mawe yako hayo ukapopoe mama na baba yako mjinga wewe..
How pathetic!! Lissu hata asilimia 3% ya kura hapati, mark my words, na uzil huu ubakie tukutane baada ya tr 28 oct
Magufuli sio msukuma ila najua ni kitanda hakizai haramu...Babake huyo ndo mzinza mzila kende (wanajua kikara na kijita ) sio wazinza pure.Nani kakuambia Magufuli ni msukuma au kwa kuwa anaongea Broken Kisukuma ndio unafikiri ni msukuma. Unajua kwa nini hata kabila lake hataki lijulikane.
Wewe ni mjinga kwahiyo alichofanya nisawa kutumia kodi zetu kujenga uwanja kwaoUnatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Lissu mbona anazunguka na watu wale wale angalia video zake, wanatangulia na mabasi siku 1 kabla, mnadhani hatujuiLisu anajaza nyomi zaidi kuliko magufuli anajaza nyomi kuliko lowasa utabisha na hili ata wale watu wanaompokea magufuli wanatolewa mkoa mzima hivyo kusababisha kuwa na usafiri wa shida pia umesahau kila sehemu magufuli anakopita wanafunzi hawaendi shule
Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia.
Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote kutokana na Ujenzi wake.
Tundu Lissu amepata uungwaji mkono mkubwa kutoka Makundi yote ya Jamii hususan Wafanyakazi ambao wanalaani kupitishwa kwa sheria Haramu ya kupora Mafao yao. CCM na serikali yake walipitisha sheria ya kuzuia Mafao ya Wafanyakazi hata Kama ameacha kazi akiwa na miaka 30 haruhusiwi kupewa haki yake ya mafao mpaka afikishe miaka 60.Sheria hii Haramu imelaaniwa na kila mfanyakazi na Tundu Lissu ameapa kuifutilia mbali Mara tu baada ya kuapishwa.
Ingawa Chato ni nyumbani kwa mgombea Urais wa CCM Lakini kwa muda mrefu CHADEMA imekuwa na uungwaji mkono mkubwa na inao wafuasi wa kutosha.Mmoja wa makamanda mashuhuri wanaotokea Chato ni mwanamama Husna Amri ambaye anajulikana nchi nzima kwa ujasiri wake.
Tunatarajia kuwaletea kila kitakachojiri katika mapokezi na Mkutano wa Kampeni hapa Chato.
-------------------------- --------------------
Yanayoendelea saa 4 Asubuhi
Mgombea wa Urais Tundu Lissu amekutana na wanachama nje ya Hoteli aliyofikia mjini Kahama kabla ya kuondoka kuelekea kwenye kampeni.
Lissu amesema Jana usiku mgombea Ubunge CDM Jimbo la Chato alivamiwa na kuharibiwa Mali zake na maharamia wanaifanyia hivyo ili kumtishia asiende Chato.
Lissu ameonya hatatishika na ataingia Chato na kufanya mkutano Mkubwa wa Kampeni.Lissu ameitaka Dunia kutega masikio kuelekea Chato leo jioni.
Kabla ya kuhutubia Chato jioni hii Lissu anatarajiwa kufanya kampeni maeneo ya Mbogwe na Bukombe
View attachment 1598334
Ofkoz n hivyo,but lazima ajue ulimwengu wa roho una pande mbili,wa nuruni na gizani,itategemea ni upande upi umesababisha achukue hatua hiyoYou have a very good point .. kuna suala la kiroho hapa. Halafu hili suala la Lissu kupokelewa vizuri nyumbani kwa Mshua ni harassment moja kubwa sana. Imemvunja nguvu sana Magufuli. Imemvunja sanaaaa
Unalijua hilo wazi unajitia wazimu tu kama mgombea wenu anajua hapati we nani?Mbona unajitoa ufahamu bado mchana kweupe Tumia logic wanaochuana ni wat wa 2 tu halafu akose 3% kweli vingine angalieni bhna 3% ya kura 29milion ni 870k kweli atakosa kura laki 870 au unaongea tu na ww uonekane umechangia
Ni mjinga tu anayeweza kutoa kauli mufulisi kama hii.Lissu ametumwa na mabeberu kuukagua uwanja wa Chato [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu mutaishia kutukanana bila hata sababu na sifa zingine munazitoa bila hata kumbukumbu. Wote wako hivyo sana. Lissu aliingiza dada yake Bunge la katiba kwa ajili ya pesa tu na sasa hasikiki tena! Niambie akiwa rais atafanya nini? Wote wana ubinafsi uliokithiri, ingawa kwa sasa Lissu anajidai ni mwema saana! Wapi! He is stupid like any other stupid person.Wewe ni mjinga kwahiyo alichofanya nisawa kutumia kodi zetu kujenga uwanja kwao
Ndugu zangu mutaishia kutukanana bila hata sababu na sifa zingine munazitoa bila hata kumbukumbu. Wote wako hivyo sana. Lissu aliingiza dada yake Bunge la katiba kwa ajili ya pesa tu na sasa hasikiki tena! Niambie akiwa rais atafanya nini? Wote wana ubinafsi uliokithiri, ingawa kwa sasa Lissu anajidai ni mwema saana! Wapi! He is stupid like any other stupid person.