Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Bora lissu aliingiza dada ake kuliko magu aliye honga kimada nyumba za serikali

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app

Kaka Naona kama unamjibu Lakini kapaniki Sana
Sasa Geita yote Lisu kapokewa kama mfalme kwenye kitongoji anachoishi Rais tu ndio wanafanya vurugu ... Mimi nilidhani hizi vurugu Angezipata Geita nzima ...
 

Wewe ndiye hopeless...

Hakuna mtu asemaye wana Chato hawana haki ya uwanja wa ndege...

Tunasema hivi, uwanja wa ndege haujajengwa Chato kwa sababu wana Chato walikuwa wanahitaji uwanja wa ndege...

Uwanja huo wa ndege umejengwa huko kwa sababu ya familia ya Rais na yeye baasi!!

Kama kwa ujinga wako tu na mahaba yako tu yasiyo na kichwa wala miguu, huelielewi hili basi subiri Mzee wako huyu atakapokuwa raia wa kawaida uone uwanja huo utakavyogeuka kuwa malisho ya mbuzi na ng'ombe...

Hayo mabilioni aliyotumia kujenga uwanja kwa ajili yake na familia yake, laiti angewauliza wana Chato wayafanyie nini,

Ni wazi, wangemwambia yatumike kuanzisha mradi mkubwa wa kilimo cha umwagiliaji (Agricultural Irrigation Scheme)..

Hebu jaribu kufikiri, kama ungetumika kwa ajili hii ungewanufaisha watu maelfu mangapi? Hebu linganisha na ujenzi wa uwanja huo, wangapi wananufaika?

Please acheni kunyanyasa masikini kwa sababu ya ego na pride zenu za kijinga...

Mkubali ama mkatae, haya ni moja ya maamuzi ya ovyo na mabaya kabisa ya matumizi ya fedha za umma kutoka kwa kiongozi wa ajabu aiitwaye Rais Magufuli...

Na hii ndiyo inayomtesa Magufuli. Ndiyo inayoitesa CCM. Nanyi ndiyo maana mnateseka kwa sbb hamna utetezi wowote makini wa maamuzi haya ya hovyo kabisa kuwahi kufanywa na mnadhani nguvu zitawasaidia kugeuza UONGO na UJINGA wenu huu uwe UKWELI na WEREVU respectively...!!
 
Hakina fujo zozote bali nilichiona ni watu wa huko hawatak kumsikiliza lissu
Kaka Naona kama unamjibu Lakini kapaniki Sana
Sasa Geita yote Lisu kapokewa kama mfalme kwenye kitongoji anachoishi Rais tu ndio wanafanya vurugu ... Mimi nilidhani hizi vurugu Angezipata Geita nzima ...
 
We ni mjinga tu, angalia statistics za ongezeko la kura ktk kila uchaguzi tangu vyama vingi.
Lowasa alipata kura 6+m dhidi ya majizi 8+m, kungekua na tume huru matokeo halisi huyu jiwe asingepata hata nusu ya alizopata
Ingekuwa kujaza watu ndo kushinda ni dhahiri Lowasa angakuwa Rais, Mrema angakuwa Rais, Lipumba enzi za ngunguli angekuwa Rais. Tukutane kwenye ballot box tuna hasira na uchungu wa nchi hii. 5 tena.
 
Kaka Naona kama unamjibu Lakini kapaniki Sana
Sasa Geita yote Lisu kapokewa kama mfalme kwenye kitongoji anachoishi Rais tu ndio wanafanya vurugu ... Mimi nilidhani hizi vurugu Angezipata Geita nzima ...
Wamefeli sana, ndo wanazidi kumpaisha Lissu
 
Picha na video za kwenye mkutano hakuna, zipo wakati wanaondoka!
Kuna shida mahala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…