Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu kichwani hazimo huo uwanja umejengwa kwa ajili ya mbuga kubwa tatu zilizoanzishwa eneo hilo ili watalii watue hapo na kwenda mbugani kutalii aambiwe mbuga ipo kubwa sana tu hapo Chato ni serengeti ya kanda ya ziwa atembelee hii hapa mbuga ya Chato kama alikuwa haijui
Watalii badala ya kutua Mwanza watatua hapo na kuelekea mbugani
Lissu anapiga vita sana maendeleo ya usukumani
Hili tukio limemuongezea kura Lissu.Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???
Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
Hakina fujo zozote bali nilichiona ni watu wa huko hawatak kumsikiliza lissu
Magufuli mwaka atakufa kabisa kwa kihoro hamna namna kura ataiba au majumuisho ya kama kile kibabu na makamba wasahau tuMagufuli awezi rudi kufanya campaign Chato ata Lissu akisema amalizie muda uliobaki wote Chato, sanasana atapishana na Kalemani tu.
Hivi mnadhani Magufuli speed ya campaign imepungua kwa sababu ya uchovu tu. Ameshanusa ushindi tayari sasa anachofanya ni heshima tu ya kuomba kura. Wish hawa jamaa wangekuwa wana record mamillioni ya watu wanaojitokeza njiani maeneo ambayo Magu akupanga asimame ni wengi wengi mnooo.
Tatizo lenu mnasoma zaidi hizi ‘sensationalised headlines za JF’ that is contrary to the fact, Magu keshaona huko njiani watanzania bado wanamuhutaji.
Kwahiyo unaona ni sifa msafara wa mgombea kupopolewa mawe? Je, na wao wangejibu mashambulizi kitu gani kingetokea? Akili za namna hii ni majanga kwa taifa.Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???
Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
Kwenye mafao hakuna neno ya uzeeni acha udanganyifuNdio maana yalipewa jina mafao ya uzeeni. Ukiwa kijana unaweza jituma vyovyote vile ukaishi. Ukifika fainali uzeeni unapewa chako kinakufaa.
Yeye si alisema anaenda kumdharirisha Magufuli Nyumbani kwake na mimi nikasema akifanya hivyo CHATO hatatoka salama na imekuwa hivyo.Kama Mkuu anatokea Eneo hatari Hivi
Hili tukio limemuongezea kura Lissu.
Mwenyewe nimewadharau sana.
Haijawahi kutokea
Msoga
Butiama
Lupaso
Kisarawe
Kote wapinzani walienda Leo hofu gani mpopoe mawe badala ya hoja.
Nimethibitisha CCM ni dude Kubwa lkn dhaifu mno
Nimethibitisha CCM ni dude Kubwa lkn dhaifu mno[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]Kama Mkuu anatokea Eneo hatari Hivi
Hili tukio limemuongezea kura Lissu.
Mwenyewe nimewadharau sana.
Haijawahi kutokea
Msoga
Butiama
Lupaso
Kisarawe
Kote wapinzani walienda Leo hofu gani mpopoe mawe badala ya hoja.
Nimethibitisha CCM ni dude Kubwa lkn dhaifu mno
Mamluki mtaendelea kujianika juaniHakina fujo zozote bali nilichiona ni watu wa huko hawatak kumsikiliza lissu
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???
Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
Maskini magufuli kakataliwa flat tena anadharauriwa na wananchi wanathamini viuono vya wasanii kuliko maneno ya magufuli kashushwa hadhi hadi anapiga magoti huku akikenuwaKama ni nyomi hakuna eneo ambalo Lissu na Magu wamesimama halafu Lissu akakusanya watu kushinda Magufuli.
Nyongeza ya hapo Magufuli anapita mamillioni ya wapiga kura njiani waliojipanga kwa sababu hana ratiba ya kusimama maeneo hayo (Mkuu party affiliation aside ngoja nikutafutie video uone Magufuli anapita watu wengi njiani kutokana na tight schedule yake).
Ni hivi ushindi wa Lissu upo JF tu yaani kuna baadhi ya viongozi wa CDM wanamwita Lissu raisi huko Twitter na tunajua mwenye mamlaka ya kumtangaza raisi wa nchi hii ni tume ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe bado sasa watu kama hao wakipelekwa Lupango utasikia wanadai wanaonewa.
Hujui athari zake na outcome ya hili..kumbuka hakujiendea tu bali ni ratiba rasmi ya tume ya uchaguziYeye si alisema anaenda kumdharirisha Magufuli Nyumbani kwake na mimi nikasema akifanya hivyo CHATO hatatoka salama na imekuwa hivyo.
Wangejaribu wakaona jombaa watu walikuwa wamejipanga.Mkutano Kafanya na kapata watu wengi tu chato ila Sasa alipotaka kusogea kwenye kijiji cha Magufuli ndio hao “interehamwe” wakaanza kurusha mawe
Kimsingi hii aibu ndio goli Lisu alikua analitafuta ... Magufuli na mdogo wake Kalemani wamefanya mambo ya kitoto kabisa
Lisu anaondoka hapo na ajenda ya kuongea wiki moja mbele
Kama kina Kalemani walikua na nguvu na wanampendwa wangekua na uwezo wa kumzuia toka kahama ; na Geita Lakini hilo limeonyesha udhaifu kuwa hata kwenye mkoa wa Geita wanakubalika Ndani ya kijiji chake tu na wala sio Wilaya nzima ya chato na hilo ni tatizo la kupenda kupita bila kupingwa Kwa Hila
Nikweli amepata jibuNafikri Lissu imepata jibu chato siyo Singida.
Kumbe kunawavuta bangi humuLissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???
Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
Toa maujinga yako leo aibu yenu mngekuwa na watu hayo yangewapata CHATO hawatakagi ujinga.Hadi uchaguzi wa serikali za mitaaa
Mwaka jana Mwenyekiti wa kijiiji chato na asilimia kubwa ya wenyeviti chato walikua Chadema na mara zote Mbunge amekua anapita kwa hila kama kuteka ; kupora fomu na kuziba barabara ili kumzuia kurudisha fomu ; hajawahi kupigiwa kura
Kimsingi mbinu alizokiwa anatumia chatto ndio Kaleta nchi nzima kama Rais na kuimaliza ccm kwenye mioyo ya watu
MAGUFULI NAYE AU MAMA SAMIA AKIENDA KIGOMA, AU MBEYA NA ARUSHA NAYE APIGWE MAWE YA KUTOSHA SIYO?? SIASA ZA WAPI HIZO NDUGU YANGU??Huyo kibaraka angepigwa mawe ya kutosha
Magufuli ni sawa na shetani maslahi ya nchi anakula yeye wapwa zake shemeji zake na mabazazi wengineWewe utakuwa wale ambao maslahi yenu yameguswa, lakini wengi wanakubali maisha bado magumu kama ilivyokuwa miaka yote kabla yake. Walau sasa hivi kuna haki wana dar es salaam walikuwa wananyanyasika mtu anakupora haki yako mchana unapakukimbilia, watendaji wajeuri etc sasa hivi raia regardless ya nafasi yake anaanza heshimiwa.
Isitoshe mazingira ya miundombinu ipo sasa kuchochea uchumi, cost of living ameishusha kiasi ukitoa sukari inflation ya chakula is slow na rent za nyumba ni stable for almost five years.
Ni hivi mnajufurahisha Magufuli Dar hana mpinzani.
Mnalipwa ujira duni sana kwa kazi ya kibwege sana , Elfu 50 itakusaidia nini hadi utumike kurusha mawe ?Yeye si alisema anaenda kumdharirisha Magufuli Nyumbani kwake na mimi nikasema akifanya hivyo CHATO hatatoka salama na imekuwa hivyo.