Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Du! Kwa hiyo Chato wapo kwenye mateka hawaruhusiwi kuonana na watu?
 
Danganya wapumbavu. Tanzania ya Leo siyo ya Jana. Mwanangu ni mfanyakazi hajaongezewa mshahara miaka 5 na pia mmeamua kuiba Mafao yake unataka tusitafute mtu atakayerudisha heshima ya mfanyakazi?
Endelea kuishi mpaka uwe kizee kama kuna siku utaona maisha ni rahisi,tembea nchi yoyote duniani uwezavyo kama utakuta kuna nchi watu wanaishi kirahisi

Nyanoko
 
Wewe ndiye hopeless...

Hakuna mtu asemaye wana Chato hawana haki ya uwanja wa ndege...

Tunasema hivi, uwanja wa ndege haujajengwa Chato kwa sababu wana Chato walikuwa wanahitaji uwanja wa ndege...

Uwanja huo wa ndege umejengwa huko kwa sababu ya familia ya Rais na yeye baasi!!

Kama kwa ujinga wako tu na mahaba yako tu yasiyo na kichwa wala miguu, huelielewi hili basi subiri Mzee wako huyu atakapokuwa raia wa kawaida uone uwanja huo utakavyogeuka kuwa malisho ya mbuzi na ng'ombe...

Hayo mabilioni aliyotumia kujenga uwanja kwa ajili yake na familia yake, laiti angewauliza wana Chato wayafanyie nini,

Ni wazi, wangemwambia yatumike kuanzisha mradi mkubwa wa kilimo cha umwagiliaji (Agricultural Irrigation Scheme)..

Hebu jaribu kufikiri, kama ungetumika kwa ajili hii ungewanufaisha watu maelfu mangapi? Hebu linganisha na ujenzi wa uwanja huo, wangapi wananufaika?

Please acheni kunyanyasa masikini kwa sababu ya ego na pride zenu za kijinga...

Mkubali ama mkatae, haya ni moja ya maamuzi ya ovyo na mabaya kabisa ya matumizi ya fedha za umma kutoka kwa kiongozi wa ajabu aiitwaye Rais Magufuli...

Na hii ndiyo inayomtesa Magufuli. Ndiyo inayoitesa CCM. Nanyi ndiyo maana mnateseka kwa sbb hamna utetezi wowote makini wa maamuzi haya ya hovyo kabisa kuwahi kufanywa na mnadhani nguvu zitawasaidia kugeuza UONGO na UJINGA wenu huu uwe UKWELI na WEREVU respectively...!!
Usimfokee hivyo mwenzio!
 
Wapi nimeandika asiende Chato?

Nilichoandika ni busara ya kuamua kwenda kwenye strong hold za mshindani wako.

Unapofanya campaign ili kutumia resources zako vizuri ni muhimu pia kuelekeza nguvu katika maeneo utakayopata support.

Lissu awezi pata kura za kutosha Chato wala mgombea ubunge wa CDM awezi shinda Chato. Sasa kwanini uende sehemu kama hiyo kitu ambacho utavuna sanasana ni ku provoke wapiga kura na kuwawekea risk local CDM cadres kwa siasa zetu za kiafrica.

Tatizo lenu mnashabikia kila upuuzi wa huyu mtu, mbona awawekezi resources kwenye siasa Zanzibar umejiuliza kwanini?
Chato ni strong hold ya chadema walikuwa na wenyeviti wa serikali za mitaa zaidi ya ccm kwa taarifa yako
 
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???

Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
 
Mbona hii habari ya Mkutano wa Lissu Chato ,haiweleweki si pro Lissu Wala Ant Lissu wote mmefeli,ketokea Nini,mkutaano ulikuwaje ...vii nyomi?
 
Lissu ulifikiri CHATO ni pa kispotispot ??Nilikuonya tangu asubuhi kuwa makini unavyoingiw CHATO Umeona sasa yaliyokukuta ???

Yaani umepopolewa na mawe ya kutosha shenzitype yaani ulikuwa unatafuta kick CHATO.
 
Back
Top Bottom