Kwenda zenu mlitaka kupata umaarufu CHATO !!Hujui athari zake na outcome ya hili..kumbuka hakujiendea tu bali ni ratiba rasmi ya tume ya uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA NAO WAPIGE MAWE MIKUTANO YA CCM? CCM INAONGOZA ARUSHA? ANAONGOZA MBEYA? INAONGOZA KIGOMA?? INAONGOZA IRINGA?? INAONGOZA JIJI LA DAR??Toa maujinga yako leo aibu yenu mngekuwa na watu hayo yangewapata CHATO hawatakagi ujinga.
Alisema atamdhalilishaje?Yeye si alisema anaenda kumdharirisha Magufuli Nyumbani kwake na mimi nikasema akifanya hivyo CHATO hatatoka salama na imekuwa hivyo.
Hahahahaha yaani leo aibu yenu mtaongea mengi hadi mtamalija, iko hivi CHATO siyo sehemu ya mashoga.Mnalipwa ujira duni sana kwa kazi ya kibwege sana , Elfu 50 itakusaidia nini hadi utumike kurusha mawe ?
Hahahahaha yaani leo aibu yenu mtaongea mengi hadi mtamalija, iko hivi CHATO siyo sehemu ya mashoga.Mnalipwa ujira duni sana kwa kazi ya kibwege sana , Elfu 50 itakusaidia nini hadi utumike kurusha mawe ?
Hiki kipimo cha kukubalika kwa kujaza watu wanasiasa kinawadanya sana!Mikutano ya Lissu inajaa watu wasiopiga kura
Hahahahaha yaani leo aibu yenu mtaongea mengi hadi mtamalija, iko hivi CHATO siyo sehemu ya mashoga.Mnalipwa ujira duni sana kwa kazi ya kibwege sana , Elfu 50 itakusaidia nini hadi utumike kurusha mawe ?
sasa mawe yamepigwa baada ya mkutano , imesaidia nini ?Hahahahaha yaani leo aibu yenu mtaongea mengi hadi mtamalija, iko hivi CHATO siyo sehemu ya mashoga.
Matusi ya nini ndugu, una ghubu kama wifi yanguNi saa 11:45 jioni, jamaa anapiga mkutano na wana Chato wana bashasha ile mbaya kumuona Rais wao wa kweli.
Mawe yako hayo ukapopoe mama na baba yako mjinga wewe..
Haya mpopoaji.Wajaribu waone, watu wenyewe wanahesabika
MWENYEKITI WAKO ULIMSIKIA KULE MBEYA?? AMEMWOMBA SUGU AMFANYEJE?? Naona unauelewa mdogo sana binti.Hahahahaha yaani leo aibu yenu mtaongea mengi hadi mtamalija, iko hivi CHATO siyo sehemu ya mashoga.
Ni msomi aliyechanganyikiwaTukiwaeleza Lissu ana tatizo la uelewa, wafuasi wake hawana la kusikiliza. Tatizo la Lissu anafahamu ana mashabiki na hafanyi uchambuzi wa yale anayopanga kuyafanya kwa kuamini kila anachofanya wafuasi wanaitikia kwamba ni sawa. Hana washauri mjuaji ni yeye.
Ulitaka atumie Kodi za nani mbulula wewe?Wewe ni mjinga kwahiyo alichofanya nisawa kutumia kodi zetu kujenga uwanja kwao
NdioKwanini wee bibi
Dada tuliaWee bibi kaa kwa kutulia mama
Magufuli mwaka atakufa kabisa kwa kihoro hamna namna kura ataiba au majumuisho ya kama kile kibabu na makamba wasahau tu
Freedom ipi hiyo? ....🙄🙄... Anyway tetea ugali wako.Nakushauri kaongee na wananchi wakuelezee freedom waliyoipata na jinsi Magufuli alivyowaonesha wao wanathamani kuliko ilivyokuwa awali.
Hata hapa Tanzania kuna watu wanaishi kiurahisi tuEndelea kuishi mpaka uwe kizee kama kuna siku utaona maisha ni rahisi,tembea nchi yoyote duniani uwezavyo kama utakuta kuna nchi watu wanaishi kirahisi
Nyanoko
We jamaa uwanja wa ndege wa Chato sio Iternational ,viwanja ambavyo ni International Tanzania ni:Leo mwanachato watuambie je Chato international airport imewanufaisha vipi?
Je tangu 2017 mwanachato gani ameutumia huo uwanja? barafu alipiga kelele sana humu JF kuhusu huu uwanja tangu 2016.
Usije baadae ukageuka ni malisho ya mifugo.
Watumbie je taa za barabarani zimewaletea vip maendeleo au zimekuwa kama sehemu ya kuongozea maguta ya punda?
Vipaumbele binafsi vya mtu kuvifanya kuwa ndo vibaumbele vya Taifa ni hatari kwa kuwa huzaa "white elephant project"