Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Toa maujinga yako leo aibu yenu mngekuwa na watu hayo yangewapata CHATO hawatakagi ujinga.
CHADEMA NAO WAPIGE MAWE MIKUTANO YA CCM? CCM INAONGOZA ARUSHA? ANAONGOZA MBEYA? INAONGOZA KIGOMA?? INAONGOZA IRINGA?? INAONGOZA JIJI LA DAR??
 
Yeye si alisema anaenda kumdharirisha Magufuli Nyumbani kwake na mimi nikasema akifanya hivyo CHATO hatatoka salama na imekuwa hivyo.
Alisema atamdhalilishaje?
Vipi kama wafuasi wa chadema chato wakiamua kurevenge huoni kama machafuko yataanzia nyumbani kwa mwenyekiti wa CCM na militia DOA taifa.

Hoja au udhalilisho hautetewi kwa mawe Bali kupuuza au kujibu kwa kumpopoa kwa hoja sio mawe .

Hiki ni kiwango cha juu cha failure mentality.

Mmejidhalilisha sana Mkuu.
 
Mnalipwa ujira duni sana kwa kazi ya kibwege sana , Elfu 50 itakusaidia nini hadi utumike kurusha mawe ?
Hahahahaha yaani leo aibu yenu mtaongea mengi hadi mtamalija, iko hivi CHATO siyo sehemu ya mashoga.
 
Mikutano ya Lissu inajaa watu wasiopiga kura
Hiki kipimo cha kukubalika kwa kujaza watu wanasiasa kinawadanya sana!

CCM tunahamisishwa na zile burudani+zile amsha amsha za msafara wa JPM!

Kwa upande wa CDM ni nani asiyetaka kwenda kumshangaa TL?!

Ni bora hata CCM asilimia kubwa ya wanaojaa ni wanachama na wamama waliofunga ndoa na CCM

Kipimo cha kukubalika ni kwenye matokeo tu

Kuna watu wamevaa miwani ya mbao wameyasahau ya juzi juzi tu kwa Lowassa aliyekuwa anakubalika hadi kwa wanachama aliokuwa anashindana nao!
 
Mnalipwa ujira duni sana kwa kazi ya kibwege sana , Elfu 50 itakusaidia nini hadi utumike kurusha mawe ?
Hahahahaha yaani leo aibu yenu mtaongea mengi hadi mtamalija, iko hivi CHATO siyo sehemu ya mashoga.
 
Ni saa 11:45 jioni, jamaa anapiga mkutano na wana Chato wana bashasha ile mbaya kumuona Rais wao wa kweli.

Mawe yako hayo ukapopoe mama na baba yako mjinga wewe..
Matusi ya nini ndugu, una ghubu kama wifi yangu
 
Wajaribu waone, watu wenyewe wanahesabika
Haya mpopoaji.
Wakati umefika muwapopoe kwa hoja sio Mawe.
Maana hiyo ni silaha walizotumia wakina zinjanthropas huko olduvai gourge miaka 1000000 BC.

Hahahahahaha
 
Hahahahaha yaani leo aibu yenu mtaongea mengi hadi mtamalija, iko hivi CHATO siyo sehemu ya mashoga.
MWENYEKITI WAKO ULIMSIKIA KULE MBEYA?? AMEMWOMBA SUGU AMFANYEJE?? Naona unauelewa mdogo sana binti.
 
Tukiwaeleza Lissu ana tatizo la uelewa, wafuasi wake hawana la kusikiliza. Tatizo la Lissu anafahamu ana mashabiki na hafanyi uchambuzi wa yale anayopanga kuyafanya kwa kuamini kila anachofanya wafuasi wanaitikia kwamba ni sawa. Hana washauri mjuaji ni yeye.
Ni msomi aliyechanganyikiwa
 
Magufuli mwaka atakufa kabisa kwa kihoro hamna namna kura ataiba au majumuisho ya kama kile kibabu na makamba wasahau tu



Kelele za chura azimzui ng’ombe kunywa maji mtoni.

Yeye mwenyewe Magufuli anastuka kwa upendo anaopewa pamoja na mvua kubwa hakuna sehemu ya kutia mguu uwanjani.

Halafu hawa jamaa wanaoandaa mikutano yake somo awajalipata tu yaani Magu akafanye mkutano Dar halafu uuandae Mburahati kutatosha kweli yaani bahati mvua vinginevyo barabara zingefungwa na umati wa watu.

Huyo Lissu atashinda uchaguzi wa JF tu tena jukwaaa la siasa lakini sio Tanzania.
 
Nakushauri kaongee na wananchi wakuelezee freedom waliyoipata na jinsi Magufuli alivyowaonesha wao wanathamani kuliko ilivyokuwa awali.
Freedom ipi hiyo? ....🙄🙄... Anyway tetea ugali wako.
 
Endelea kuishi mpaka uwe kizee kama kuna siku utaona maisha ni rahisi,tembea nchi yoyote duniani uwezavyo kama utakuta kuna nchi watu wanaishi kirahisi

Nyanoko
Hata hapa Tanzania kuna watu wanaishi kiurahisi tu
Mtu kama polepole yeye Kazi yake kumsifia jiwe tu.. Kuna ugumu gani?
 
Leo mwanachato watuambie je Chato international airport imewanufaisha vipi?

Je tangu 2017 mwanachato gani ameutumia huo uwanja? barafu alipiga kelele sana humu JF kuhusu huu uwanja tangu 2016.

Usije baadae ukageuka ni malisho ya mifugo.

Watumbie je taa za barabarani zimewaletea vip maendeleo au zimekuwa kama sehemu ya kuongozea maguta ya punda?

Vipaumbele binafsi vya mtu kuvifanya kuwa ndo vibaumbele vya Taifa ni hatari kwa kuwa huzaa "white elephant project"
We jamaa uwanja wa ndege wa Chato sio Iternational ,viwanja ambavyo ni International Tanzania ni:
1.Julius Nyerere International Airport

2.Kilimanjaro International Airport

3.Songwe International Airport

Na sasa hivi kinachoboreshwa ili kufikia International Airport ni kiwanja cha Ndege cha Mwanza na kile kinachojengwa Msalato mbona hamsemi ukweli kuwa Chato sio International Airport bali ni kiwanja kama cha Katavi na swala la taa za barabari unashangaa utadhani hiyo ni inshu shida hamtembei miji karibu yote inasukwa sana shida watu hamna shukrani mlitaka Raisi asiye chekacheka sasa leo mnalialia kutaka huruma na bado Magu 5 tena mtakonda sana mwaka huu bado mingine.
 
Back
Top Bottom