Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Kwahiyo unaona ni sifa msafara wa mgombea kupopolewa mawe? Je, na wao wangejibu mashambulizi kitu gani kingetokea? Akili za namna hii ni majanga kwa taifa.
Tunataka wajibu ili tuone yale wanayoropokaga kila siku wanayaweza kweli au ndo ngonjera za kila siku
 
Freedom ipi hiyo? ....🙄🙄... Anyway tetea ugali wako.
Dignity na haki sawa kwa wote, kusikilizwa shida zao, kutafutiwa ufumbuzi, mahakama kuwa chombo cha kuaminika zaidi na asilimia kubwa ya wafanyakazi serikalini siku hizi wameanza kuwa na heshima japo bado kuna vichwa ngumu wachache.
 
Teh teh teh teh eti "haki sawa kwa wote"... endelea kutetea ugali wako.
 
Kwenda zenu mlitaka kupata umaarufu CHATO !!

Nilisema hapa asubuhi akienda huko kuongea shombo atapopolewa na mawe na ndivyo ilivyotokea.
Sasa kwanini apigwe mawe? unadhani hiyo ndiyo njia sahihi ya kurusha mawe?
 
Wenzake waliendaga taratibu. Ye kaenda kwa spidi moto sana. Nadhani wanachato wamechukulia kama chokochoko mchokoe pweza.
 
Blah Blah...Matusi ya Nini Sasa? Mbona huelezei pia sheria Haramu ya mafao ya Wafanyakazi? Nayo mmesingiziwa? Mmekosa Hoja kabisa
Muugopeni lissu kama ukoma. Anataka nchi isiyotii chochote. Ni mtu mbishi na mkorofi kwa kuzaliwa. Sijawahi kusikia akisema anakubaliana na nini.
 
Teh teh teh teh eti "haki sawa kwa wote"... endelea kutetea ugali wako.
Kama kila mtu angekua na akili ya ugali wake mpaka Leo wakoloni wangekuwepo na MAKABURU wangekua wanaua wazalendo mpaka Sasa kule sauzi
Tunahitaji watu watakaojitola muhanga kwa ajili ya wengine
 
Are you ser
 
Sawasawa
 
Lowasa alishinda mzee acha ushamba wa kingosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…