Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kidogo hivo,inatishaje kamanda...........nyie si mnataka kulianzisha kubwa zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidogo hivo,inatishaje kamanda...........nyie si mnataka kulianzisha kubwa zaidi
Haya mpopoaji.Wajaribu waone, watu wenyewe wanahesabika
Yaani anaonekana kama kapata utapia mlo wa ghafla apimwe damu huyo. Anatia hurumaVile mnavo hangaika kukichafua chuma .afu chuma hakina habari wala mashakaa wala nini
Kina subiri kuingia Ikulu tuu kwa mara ya piliView attachment 1598928
Tunataka wajibu ili tuone yale wanayoropokaga kila siku wanayaweza kweli au ndo ngonjera za kila sikuKwahiyo unaona ni sifa msafara wa mgombea kupopolewa mawe? Je, na wao wangejibu mashambulizi kitu gani kingetokea? Akili za namna hii ni majanga kwa taifa.
Dignity na haki sawa kwa wote, kusikilizwa shida zao, kutafutiwa ufumbuzi, mahakama kuwa chombo cha kuaminika zaidi na asilimia kubwa ya wafanyakazi serikalini siku hizi wameanza kuwa na heshima japo bado kuna vichwa ngumu wachache.Freedom ipi hiyo? ....🙄🙄... Anyway tetea ugali wako.
Kwani alikuwepo hapo kwenye tukio?Hapa Magufuli kajidhalilisha
Mbona umekasirika yakhe nimekugusa pabaya??!!!Na wewe si umsifie Lissu uishi kirahisi, acha wivu wa kike
Bashite hujawahi kuwa na akili ndio maana hata kutengeneza propaganda tu unashindwaLissu mbona anazunguka na watu wale wale angalia video zake, wanatangulia na mabasi siku 1 kabla, mnadhani hatujui
Teh teh teh teh eti "haki sawa kwa wote"... endelea kutetea ugali wako.Dignity na haki sawa kwa wote, kusikilizwa shida zao, kutafutiwa ufumbuzi, mahakama kuwa chombo cha kuaminika zaidi na asilimia kubwa ya wafanyakazi serikalini siku hizi wameanza kuwa na heshima japo bado kuna vichwa ngumu wachache.
Sasa kwanini apigwe mawe? unadhani hiyo ndiyo njia sahihi ya kurusha mawe?Kwenda zenu mlitaka kupata umaarufu CHATO !!
Nilisema hapa asubuhi akienda huko kuongea shombo atapopolewa na mawe na ndivyo ilivyotokea.
Wenzake waliendaga taratibu. Ye kaenda kwa spidi moto sana. Nadhani wanachato wamechukulia kama chokochoko mchokoe pweza.Kama Mkuu anatokea Eneo hatari Hivi
Hili tukio limemuongezea kura Lissu.
Mwenyewe nimewadharau sana.
Haijawahi kutokea
Msoga
Butiama
Lupaso
Kisarawe
Kote wapinzani walienda Leo hofu gani mpopoe mawe badala ya hoja.
Nimethibitisha CCM ni dude Kubwa lkn dhaifu mno
Muugopeni lissu kama ukoma. Anataka nchi isiyotii chochote. Ni mtu mbishi na mkorofi kwa kuzaliwa. Sijawahi kusikia akisema anakubaliana na nini.Blah Blah...Matusi ya Nini Sasa? Mbona huelezei pia sheria Haramu ya mafao ya Wafanyakazi? Nayo mmesingiziwa? Mmekosa Hoja kabisa
Kama kila mtu angekua na akili ya ugali wake mpaka Leo wakoloni wangekuwepo na MAKABURU wangekua wanaua wazalendo mpaka Sasa kule sauziTeh teh teh teh eti "haki sawa kwa wote"... endelea kutetea ugali wako.
Hiki kipimo cha kukubalika kwa kujaza watu wanasiasa kinawadanya sana!
CCM tunahamisishwa na zile burudani+zile amsha amsha za msafara wa JPM!
Kwa upande wa CDM ni nani asiyetaka kwenda kumshangaa TL?!
Ni bora hata CCM asilimia kubwa ya wanaojaa ni wanachama na wamama waliofunga ndoa na CCM
Kipimo cha kukubalika ni kwenye matokeo tu
Kuna watu wamevaa miwani ya mbao wameyasahau ya juzi juzi tu kwa Lowassa aliyekuwa anakubalika hadi kwa wanachama aliokuwa anashindana
SawasawaHiki kipimo cha kukubalika kwa kujaza watu wanasiasa kinawadanya sana!
CCM tunahamisishwa na zile burudani+zile amsha amsha za msafara wa JPM!
Kwa upande wa CDM ni nani asiyetaka kwenda kumshangaa TL?!
Ni bora hata CCM asilimia kubwa ya wanaojaa ni wanachama na wamama waliofunga ndoa na CCM
Kipimo cha kukubalika ni kwenye matokeo tu
Kuna watu wamevaa miwani ya mbao wameyasahau ya juzi juzi tu kwa Lowassa aliyekuwa anakubalika hadi kwa wanachama aliokuwa anashindana nao!
Lowasa alishinda mzee acha ushamba wa kingosha.Hiki kipimo cha kukubalika kwa kujaza watu wanasiasa kinawadanya sana!
CCM tunahamisishwa na zile burudani+zile amsha amsha za msafara wa JPM!
Kwa upande wa CDM ni nani asiyetaka kwenda kumshangaa TL?!
Ni bora hata CCM asilimia kubwa ya wanaojaa ni wanachama na wamama waliofunga ndoa na CCM
Kipimo cha kukubalika ni kwenye matokeo tu
Kuna watu wamevaa miwani ya mbao wameyasahau ya juzi juzi tu kwa Lowassa aliyekuwa anakubalika hadi kwa wanachama aliokuwa anashindana nao!
Magufuli kaishiwa kupanga watu wakupiga mgombea tishio lake maweHakina fujo zozote bali nilichiona ni watu wa huko hawatak kumsikiliza lissu
Sibishani na wajinga wanaongea pumba bila factLowasa alishinda mzee acha ushamba wa kingosha.