Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Kwahiyo unaona ni sifa msafara wa mgombea kupopolewa mawe? Je, na wao wangejibu mashambulizi kitu gani kingetokea? Akili za namna hii ni majanga kwa taifa.
Tunataka wajibu ili tuone yale wanayoropokaga kila siku wanayaweza kweli au ndo ngonjera za kila siku
 
Freedom ipi hiyo? ....🙄🙄... Anyway tetea ugali wako.
Dignity na haki sawa kwa wote, kusikilizwa shida zao, kutafutiwa ufumbuzi, mahakama kuwa chombo cha kuaminika zaidi na asilimia kubwa ya wafanyakazi serikalini siku hizi wameanza kuwa na heshima japo bado kuna vichwa ngumu wachache.
 
Teh teh teh teh eti "haki sawa kwa wote"... endelea kutetea ugali wako.
 
Kwenda zenu mlitaka kupata umaarufu CHATO !!

Nilisema hapa asubuhi akienda huko kuongea shombo atapopolewa na mawe na ndivyo ilivyotokea.
Sasa kwanini apigwe mawe? unadhani hiyo ndiyo njia sahihi ya kurusha mawe?
 
Kama Mkuu anatokea Eneo hatari Hivi

Hili tukio limemuongezea kura Lissu.
Mwenyewe nimewadharau sana.

Haijawahi kutokea
Msoga
Butiama
Lupaso
Kisarawe
Kote wapinzani walienda Leo hofu gani mpopoe mawe badala ya hoja.

Nimethibitisha CCM ni dude Kubwa lkn dhaifu mno
Wenzake waliendaga taratibu. Ye kaenda kwa spidi moto sana. Nadhani wanachato wamechukulia kama chokochoko mchokoe pweza.
 
Blah Blah...Matusi ya Nini Sasa? Mbona huelezei pia sheria Haramu ya mafao ya Wafanyakazi? Nayo mmesingiziwa? Mmekosa Hoja kabisa
Muugopeni lissu kama ukoma. Anataka nchi isiyotii chochote. Ni mtu mbishi na mkorofi kwa kuzaliwa. Sijawahi kusikia akisema anakubaliana na nini.
 
Teh teh teh teh eti "haki sawa kwa wote"... endelea kutetea ugali wako.
Kama kila mtu angekua na akili ya ugali wake mpaka Leo wakoloni wangekuwepo na MAKABURU wangekua wanaua wazalendo mpaka Sasa kule sauzi
Tunahitaji watu watakaojitola muhanga kwa ajili ya wengine
 
Are you ser
Hiki kipimo cha kukubalika kwa kujaza watu wanasiasa kinawadanya sana!

CCM tunahamisishwa na zile burudani+zile amsha amsha za msafara wa JPM!

Kwa upande wa CDM ni nani asiyetaka kwenda kumshangaa TL?!

Ni bora hata CCM asilimia kubwa ya wanaojaa ni wanachama na wamama waliofunga ndoa na CCM

Kipimo cha kukubalika ni kwenye matokeo tu

Kuna watu wamevaa miwani ya mbao wameyasahau ya juzi juzi tu kwa Lowassa aliyekuwa anakubalika hadi kwa wanachama aliokuwa anashindana
 
Hiki kipimo cha kukubalika kwa kujaza watu wanasiasa kinawadanya sana!

CCM tunahamisishwa na zile burudani+zile amsha amsha za msafara wa JPM!

Kwa upande wa CDM ni nani asiyetaka kwenda kumshangaa TL?!

Ni bora hata CCM asilimia kubwa ya wanaojaa ni wanachama na wamama waliofunga ndoa na CCM

Kipimo cha kukubalika ni kwenye matokeo tu

Kuna watu wamevaa miwani ya mbao wameyasahau ya juzi juzi tu kwa Lowassa aliyekuwa anakubalika hadi kwa wanachama aliokuwa anashindana nao!
Sawasawa
 
Lowasa alishinda mzee acha ushamba wa kingosha.
 
Back
Top Bottom